Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

Changia hoja acha vioja. Kuita watu wengine makalio ni upunguani.
 
Trump yuko sawa, sisi weusi sio binadamu ni mfano wa binadamu kama vile mamba na mijusi wanavyofanana, lakini mjusi sio mamba
 
My big brother u've just hit the nail on the head I salute you !!!
 
Kaka ea demokrasia afrika masharik
 
Labda kama njia yako ni kutuaminisha kwa JPM anakosea kwa sababu unajua watz huwa hawasomi katiba, suala la Matumizi ya pesa hata wabunge mwanzoni walijaribu kuhoji lakini walkaa kimya baada ya kugundua katiba inamruhusu rais kubadili Matumizi yoyote ya pesa kwa maslahi ya taifa. Sasa swali likaja je Matumizi aliyofanya ya ununuzi wa Ndege ni kwa maslahi ya taifa? Hapo ndio wakina Zitto ikabidi wakae kimya. Suala la mahakama ni la kusadikika zaidi kwa sababu hakuna ushahidi wa moja kwa moja ambao unaweza ukasema rais alimpigia jaji au hakimu akamwambia mfunge MTU Fulani although inawezekana maamuzi ya majaji au hakimu wanaweza kuwa yanawalakini labda ni kutokana na woga UA wanataka wapandishwe vyeo kwa kumfurahisha mkuu hilo siwezi kulijadili sana.
Suala la tofauti ya hapa na Kenya labda kwa sababu hujawahi kuishi Kenya lakini sehemu ambayo wapinzani au wanasiasa wameuwawa zaidi kuliko nchi yoyote EA ni Kenya anzia enzi za akina Ouko, baba yake na Odinga aliwekwa kizuizini kwa muda gani bila mashtaka? Odinga mwenyewe unajua alishawekwa kizuizini?
Nigeria unayosema unajua ni lini imepata hata serikali ya kidemokrasia?
Tatizo hapa kuna watu kama nyie mnadhani demokrasia ya kweli ni kuruhusu fujo na watu waachwe kwa hilo ni ngumu kwa ngosha labda tusubili 2025 lakini pia kumbuka Kikwete alitupa Uhuru lakini tuliishia kumwita dhaifu na matusi mengi tu. Na hawa viongozi wanajifunza kutokana na makosa inawezekana JPM upinzani ndio ulimjega kwa kusema tunataka rais wa aina gani na Mungu akawasikiliza akawaletea rais mkali, tumwombe tena Mungu atuletee rais mpole 2025 aje mpole tena
 
Huyu jamaa aisee ataleta shida sana Kenya.. Baba yake alikufa huku akiutaka uraisi bila ya mafanikio.. Sasa naona mtoto ameamua liwalo na liwe, baada ya kuona ameshaukosa uraisi rasmi..

Usilolijua ni kama usiku wa giza
Baba yake raila ndio aliompa Nchi mzee kinyata.wakati huo akiwa gerezani
Akamwambia mzee kenyata nakukabidhi wewe nchi na nakuamini
Walikabidhiana kwa roho moja na kuaminiana saaana
Fatilia historia mkuu usipayuke tu
 
Kila anayejitokeza kukupinga unammaliza, utamaliza wangapi...halafu unajua dunia inakokwenda...kuna siku hawa watawala wanaoua watu kwa kuwapinga watakuja kukamatwa kama kuku na kushtakiwa kimataifa.

Kenyatta anajua wapi kama dunia tunakwenda, watawala wengi hawajui.
 
Top notch analysis...no doubt about it.
 
Si rahisi hivyo kumsekwa ndani Odinga kufanya hivyo kutamzidishia umaarufu.Lakufanya ni Rais Kenyatta kuwapuuza na mambo yatatulia polepole
 
Genta kinachombeba Odinga ni wafuasi wengi maana hapo ni ukabila unaongelewa,kumpoteza kama usemavyo ni hatari kuliko kumwacha tu ajiapishe na kurudi nyumbani kupiga chang'aa.

Fikiria mtu ana wafuasi ambao wasipo pigwa mabomu wanalalamika sasa unadhani akipotezwa hao vichaa si patachimbika.
 

Yeye si tayari muhanga wa ICC??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…