Baada ya Kifo cha Dkt. Magufuli, Jerry Muro ahofia kunyang'anywa cheo chake

Baada ya Kifo cha Dkt. Magufuli, Jerry Muro ahofia kunyang'anywa cheo chake

Wengi wao ndiyo walivyo na hofu kuu maana mwiba daima utokea pale ulipo ingilia.

Wana hofu kwa kujua madhaifu yao maana vigezo vilivyo wapatia hivyo vyeo anavijua aliye wateua
 
Mngejiimarisha kwenye kusuka mipango na mikakati ya chama chenu muone mnaongezaje idadi ya wabunge wa kuchaguliwa 2025 hizi cheap politics ambazo zipo based na watu haziwasaidi.
Video hiyo hapo jionee mwenyewe, sasa kama mna viongozi duni wa sampuli ya Jerry unataka sisi tufanyeje.
 
Naona akili zinarudi kichwani taratibu maana zilikimbilia kwenye nyayo. Tumsikie na chalamila.
 
Mjanja huyo, hiyo ni Njia nyingine ya kujihakikishia uwepo wake serikali ya Mama samia, Indirectly.
 
Wako wengi sio jerry tu kuna kundi kubwa sana ambalo halina uhusiano wowote na sisiem ambao wanalialia tu maana wanajua wenye chama chao wataanza kurudi tartiiiibu mamluki wote tupa kule.

Wewe fikiria mtu kasotea ubunge miaka zaidi ya 15 hapati na bado hajahama chama leo hii mtu katoka tu huko sijui msemaji wa kitu gani anapewa ukuu wa wilaya mara ubunge sijui uwaziri safari hii lazima mavi yawabane hakuna namna
 
Jerry agepewa wilaya nyingine maana arumeru haiwezi, ile kazi yake ya kushawishi madiwani wa upinzani waamie CCM kwa sasa haipo tena.

Hii wilaya ina Barabara mbovu na mbaya ambazo hazipitiki, wakati halimashauri hii ina greda la kuchonga barabara, ina lile la kushindilia na ina gari la kumwaga maji

Kazi kubwa waliyonayo hapo halimashauri ni kukodishia wananchi mashamba na mengine kuuziana.

Kwako @Jerrymuro kama una lakupinga.
 
Ila marehemu aliwaburuza ccm[emoji16][emoji16][emoji16].

mtu ambaye hawakumtegemea ndo aliyemchagua.
 
Back
Top Bottom