Baada ya Kifo cha Dkt. Magufuli, Jerry Muro ahofia kunyang'anywa cheo chake

Baada ya Kifo cha Dkt. Magufuli, Jerry Muro ahofia kunyang'anywa cheo chake

Jerry Muro amekiri kuwa kati ya wamachame wachache waliotoboa katika utawala wa Magufuli ambaye ni msukuma na yeye yumo. Hana hakika kama ataendelea kuwa mkuu wa wilaya chini ya Rais mpya Mama Samia. Sasa anajiuliza arudi Yanga ambako alikuwa msemaji wa club au vipi kwani nako Yanga haifanyi vizuri!

Kutokana na kifo cha Rais Magufuli kila mtu anayelia anawaza mazito na hasa tumbo lake!


 
Ukabila ulioteshwa kwa speed ya kibunga Mama la Mama mheshimiwa Rais asipo dhibiti Tanzania tunaenda kuwa na ukabila mbaya sana unao ratibiwa na Gwajima na kundi lake ukweli lazima usemwe na msema ukweli ni mpenzi wa Mungu! Au nina sema uwongo jamani?
 
Ndo maana kwa mchango yangu mingi humu najiulizaga Nashindwa kupata jibu Paskali licha ya usukuma wake na katokea kabila na Kanda pendwa teuzi hakupata. Lakini Jerry Muro kutoka jamii inayohofiwa, kuchukiwa, kuogopwa na kutengwa kala shavu. Je Pasco huenda alikuwa anagombania demu na marehemu Jiwe haiwezekani kabisa kuingia akilini
 
Ndo maana kwa mchango yangu mingi humu najiulizaga Nashindwa kupata jibu Paskali licha ya usukuma wake na katokea kabila na Kanda pendwa teuzi hakupata. Lakini Jerry Muro kutoka jamii inayoofiwa, kuchukiwa, kuogopwa na kutengwa kala shavu. Je Pasco huenda alikuwa anagombania demu na marehemu Jiwe haiwezekani kabisa kuingia akilini
Mimi simo mwambie akusikie Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom