Baada ya kifo cha Magufuli, Wapinzani walituaminisha chuki zitaisha kumbe bado?

Kuna utani kuwa wapo watu wanakula ugali kwa picha ya samaki!
Ccm ni kama ugali usio na mboga. Huliwa tu pale picha ya samaki ikiwekwa mbele. Sasa inategemea ni samaki wa aina gani!
Watu walisha kinai bila picha ya samaki mzuri ugali hauliki.
 
hahaaaa wanakimbia nchii ya asali na maziwa wanamuogopa nani? wacha tule matunda ya nchi yetu hao wakae hukohuko
Kurudi watarudi tu tatizo ni yule aliyeota ndoto za alinacha eti anapenda kuwa raisi wa malaika,huku akijua alikuwa mtekaji,muuwaji,aliyejaa dharau na kejeli ATARUDI????Acha tujinafasi kutesa kwa zamu.
 

Nini maana ya democracy. Mtu yupo huru kudai anachoona ni sahihi wao wanatetea haki zao wanaanzaje kunyamaza sasa. Tatizo lenu mnataka watu waiabudu ccm kila mnachokifanya watu wakubali na sie hatutaki
 

Walikuwa wangapi? Hata hivyo sina tatizo na wao kuipigia kura ccm, ila nataka ushindi wa halali. Hili ni jambo lisilo hitaji mjadala kuwa kukiwa na mazingira sahihi ya ushindani, hakuna uwezekano wa ccm kushinda zaidi ya 55% ya uchaguzi. Ccm hawataki ushindani halali maana wanajua chama chao sio cha kizazi hiki, ukweli huu unawaumiza kupita maelezo.
 
Sijui idadi yao ila ni wengi hakuna aliyetarajia hasa kwa jinsi ambavyo huyo Marehemu alivyokuwa anazungumziwa na hadi sasa jinsi anavyoendelea kuzungumzwa hakuna angetaraji kitu kama kile na hatuwezi kusema ndio wale tu pengine kuna wengine hawakuwa wakitoka tu majumbani. Sasa kwa watu wa aina hiyo mie napata shida sana kuamini kwamba et ccm haitaki ushindani halali kwa kuogopa CDM tu kwamba CDM ina mtaji wa kula wa kutosha kuwaingiza Ikulu.
 
Narudia tena, sio kwamba ccm hakuna sehemu hawapati ushindi halali, ndio maana nikakuwekea percent ambayo hawawezi kuvuka kukiwa na ushindani halali. Na iwapo watapata ushindi finyu kulingana na matamanio yao, uwezekano wa wao kupoteza chaguzi za mbeleni ni mkubwa, kwani ccm sio chama cha kizazi hiki.
 
Nyumbulization gang tu ndo mnaendekeza,ila nawasifu mma roho za korosho na visasi visoisha,yani mmejiandaa kumwaga damu ya visasi mkipata nchi
Sio damu tu hadi mavi.
Lazima niwe Sabaya.
 
Na mimi nilichoeleza ni kwamba si kwamba ccm haitaki ushindani halali kwa kuogopa Chadema kama ambavyo wengi wanafikiri, mimi binafsi sioni hivyo. Kitu gani kinakufanya useme ccm sio chama cha kizazi hiki?
 
Achana naye huyo nyumbu atakuambia hao watu waliovunja geti pale airpot waliletwa na maroli na mabasi kutoka mikoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…