Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ndio umeongea utoto gani hapa dogo?Mtajiju muulize mbowe master wa siasa za nyumbu siku hizi anspumulia nini?
Amebaki kulalama kma mbweha mtaani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio umeongea utoto gani hapa dogo?Mtajiju muulize mbowe master wa siasa za nyumbu siku hizi anspumulia nini?
Amebaki kulalama kma mbweha mtaani?
Coz nyumbu ndo tabia zaoo, ebu fuatilia tabia za nyumbu ndo utaelewa kuwa n moja ya wanyama wenye IQ ndogo sanaaWachukie tu CDM imechukiwa na wapumbavu kibao wakiongozwa na muoza zake lakini bado ipo na itaendelea kuwepo.
Sasa tunajenga ofisI kwa nguvu ya wanachama,waambie hao WCB waje wazuie kama wana mashabiki unaowasema.
Ruzuku hazikujenga, wanajenga Wananchi (Nyumbu)Kila mkoa na kanda ni ujenzi tuu alichobariki mungu hakuna wa kulaani
Hakuna utajiri mkubwa kama kuwa na watuRuzuku hazikujenga, wanajenga Wananchi (Nyumbu)
Kwa box la kura la halali cdm wanapata kura za kumwaga, tena sio za kubembeleza. Wananchi wengi wameshajitambua na hawaendekezi siasa za kinafiki za Ccm. Ccm itaendelea kutumia vyombo vya dola kubaki madarakani.😂😂 Na niny tusubir 2025, labda msishiriki maana sioni cdm mwenye akili wa kuingia mjengoni tuu 😂😂, mpinzan atabaki zitto na genge lake
Chadema hakuna watu, kuna nyumbu tuu mkuuHakuna utajiri mkubwa kama kuwa na watu
According to u( ulivyokariri)Kwa box la kura la halali cdm wanapata kura za kumwaga, tena sio za kubembeleza. Wananchi wengi wameshajitambua na hawaendekezi siasa za kinafiki za Ccm. Ccm itaendelea kutumia vyombo vya dola kubaki madarakani.
Namna yoyote waite ila ndiyo utajiri wa chama?Chadema hakuna watu, kuna nyumbu tuu mkuu
Hutaki kunywa sumu.According to u( ulivyokariri)
Hakika kabisaah.Kudai katiba na tume huru ni kuchochea chuki?
Huwezi kunilazimisha kumpigia kura diamond kama naona mziki wake sio mzuri kushinda wa Burna Boy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Nyumbulization gang tu ndo mnaendekeza,ila nawasifu mma roho za korosho na visasi visoisha,yani mmejiandaa kumwaga damu ya visasi mkipata nchiWachukie tu CDM imechukiwa na wapumbavu kibao wakiongozwa na muoza zake lakini bado ipo na itaendelea kuwepo.
Sasa tunajenga ofisI kwa nguvu ya wanachama,waambie hao WCB waje wazuie kama wana mashabiki unaowasema.
Acha choyo, maono mafupi na akili mbovu
Ndio maana nasema hakuna ambapo Magufuli anakosa lawama kila utakapogusa analawama, matatizo yote ya hii nchi yeye ndio kabeba lawama zake hata ile report ya CAG utaona kuwa ni Magufuli pekee tu ndio kawajibika kwa kila uozo uliyopo mule kwa kubeba lawama zote.Issue ya mashehe wa uamsho waliingia kipindi cha Kikwete lawama zake ni mamlaka yake kutumia kama alivyofabya kwa Babu Seya family
Unawazungumzia hawa wananchi waliyoenda kuvunja gate la Airport na kujazana barabarani wakitandika kanga kwenye msiba wa Magufuli? kilichofanyika hakuna ambaye alitarajia kama kungekuwa na wananchi wa kufanya vile sasa watu kama wale wasiotabirika ni ngumu pia kujua watapigia chama gani.Kwa box la kura la halali cdm wanapata kura za kumwaga, tena sio za kubembeleza. Wananchi wengi wameshajitambua na hawaendekezi siasa za kinafiki za Ccm. Ccm itaendelea kutumia vyombo vya dola kubaki madarakani.
Nyimbo zake zenye vionjo vya kutiana tiana zinaakisi kabisa tabia yake ya kibeberu ya kurukia na kuzaa na kila mwanamke... Kama kioo cha jamii hafai kabisa...Kudai katiba na tume huru ni kuchochea chuki?
Huwezi kunilazimisha kumpigia kura diamond kama naona mziki wake sio mzuri kushinda wa Burna Boy.
Hivi yule aliyewaita watanzania malofa pale jangwani alikuwa nani vile?Hata enzi ya kikwete walitukana, hawa hawana cha utaifa wala nini.
Mambo yao ni ya kichawi tu.
Mchawi hata mtu mwema yeyote kwake ni ubaya tu na ndo walivyo Chadema.