Baada ya kifo cha Magufuli, Wapinzani walituaminisha chuki zitaisha kumbe bado?

Nimecheka kweli yani eti hasira zao zimeamia kwa Diamond,Ajabu ktk 90% ya wasanii walokua wanapiga kampeni Basi wamemchagua diamond kufuta hasira zao na jinsi walivyo mandezi wakiongozwa na viongozi wao Bila aibu eti wanampigia kura msanii ambaye si mtanzania eti kuwakomesha.

Hapo ndo napata tabu Hawa watu wakichukua nchi visasi na umwagaji damu ndo vitataradadiii
Mama bado anawapa mda. Na wao wanamchokoza ili ajibu. Wanasiasa za kijinga Sana.
 
Hata wasipoalikwa kula meza moja,kufikisha ujumbe wa uhuru na haki ni zaidi ya mwaliko huko usemako.
 
Kudai katiba na tume huru ni kuchochea chuki?

Huwezi kunilazimisha kumpigia kura diamond kama naona mziki wake sio mzuri kushinda wa Burna Boy.
Wewe ni hasara kwa wazazi.
 
Kudai katiba na tume huru ni kuchochea chuki?

Huwezi kunilazimisha kumpigia kura diamond kama naona mziki wake sio mzuri kushinda wa Burna Boy.
Ujibu tu Diamond amekosa nini mpaka mmpigie kura na kususa bidhaa zake?
 
Kuna msemo unaosema, asifuye mvua imemnyea.

Wakati wa Hayati Dkt. Magufuli, CHADEMA walikuwa na propaganda kali sana kwamba Magufuli ameshindwa kuleta umoja kwa taifa. Kwa vile Mara nyingi wanalalamika kwenye mitandao mambo yao yakaenda hadi nje ya nchi.

Kuna wengine hadi wakaomba uhamisho kwa mbwembwe kwamba ni wakimbizi wa kisiasa na sababu ni Hayati Magufuli.

Sasa Hayati Magufuli hayupo, Ila bado wanalazimisha chuki miongoni mwa Watanzania.

Mwenyekiti wa chama ana hubiri chuki za ukabila.

Wanachama wanahubiri chuki zaidi ya Diamond asipigiwe kura.

Hawa watu ni watu wa aina gani?

Ungekuwa wewe Ndio Rais wa nchi unawafanya nini Hawa? Unaweza ukawaalika ikulu kula nao mesa Moja na kugonga nao cheers?

Nahisi Dkt. Magufuli alikuwa sahihi kuwatuliza.
Ni sikio la kufa huwa halisikii dawa.
 
chuki zimetoka wapi tena. Haya ni mavuno tu. waliopanda kahawa wasitegemee kuvuna korosho.
 
Kayafa ndo root ya haya mambo msijitoe ufahama.
n wao waliyapalilia kwa mbwembwe yakamea na kukua sasa wavune tu. Yaani haya maccm hata siyaelewi yanalialia siku hizi wakati yanapigwa maneno matupu. Je sisi tuliopigwa hela na mabomu tutasemaje?
 
Ungekuwa wewe Ndio Rais wa nchi unawafanya nini Hawa? Unaweza ukawaalika ikulu kula nao mesa Moja na kugonga nao cheers?

Nahisi Dkt. Magufuli alikuwa sahihi kuwatuliza.
Rwanda wanaitwa genocidere
Hongera kwa kutetea yaliyompata Ben Saanane, yasikupate tu
 
Diamond kaamua kuwa mwa a siasa hivyo acha aonje joto la jiwe, na bado

Kwanza katuharibia sana watoto wetu.
 
Kwani unataka chuki iishe mlipokua mkiitengeneza tunawaambia hamkusikia?

Pia kwani kesi za kubambika mmewafutia wahusika! Familia ngapi zimepoteza wategemezi wao walio nyuma ua nondo kwa kesi za kubumba ! Mmewaachilia ??

Familia za Kina Ben Saanane na Azory Gwanda unataka zimuelewe vipi mnayemtetea?

Pia kama mlisema mnataka kumuongeza muda atawale milele muongezeni sasa..
 
Nimecheka kweli yani eti hasira zao zimeamia kwa Diamond,Ajabu ktk 90% ya wasanii walokua wanapiga kampeni Basi wamemchagua diamond kufuta hasira zao na jinsi walivyo mandezi wakiongozwa na viongozi wao Bila aibu eti wanampigia kura msanii ambaye si mtanzania eti kuwakomesha.

Hapo ndo napata tabu Hawa watu wakichukua nchi visasi na umwagaji damu ndo vitataradadiii
Diamond alisapoti mauaji na mateso ya watu
 
Waliomuelewa Hayati ni wengi sana kuliko wale mleta uzi anaowafahamu humu jukwaani.

Kinamama waliotupa kanga zao njia nzima ili gari la mwili lipite juu huwezi kuwasoma humu ndani na wapo mamilioni kwa mamilioni.

Chuki za kijinga zitaishia kuwaumiza wote walionazo mioyoni.
 
Back
Top Bottom