Hatimaye kwa namna yoyote ile ubao umelalia kaskazini. Kwa mara ya kwanza katika historia huenda na kwa asilimia kubwa tena za kutosha makamu wa Rais atatokea katika ukanda huo yaani kaskazini.

Mimi nimemhifadhi mtu ambaye anapewa nafasi kubwa ya kukalia hicho kiti. Nitakuja kumtaja huko mbeleni.

Unaweza kubashiri.
 
Chadema mnahangaika sana.

Makamu wa Rais atatoka CCM siyo Ufipa!
 
Naona unaota! Fisi unaweza kumkabidhi Bucha kweli?
 
Kuikataa na kuibeza kaskazini ni kukataa maendeleo.
Walipata sana nafasi za juu wakati wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa lakini walichofanya ni kujilimbikizia mali na maendeleo kwao huko kaskazini tu. Sasa ni wakati wa kanda zingine ili maendeleo yasambae Tanzania nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…