Kigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria
Hata awe mpagani sio lazima awe mkristo kama kazi anaiweza kuifanya vema
 
Na imani na JK ,tumechoka kuishi kama mko korea kaskazini uchumi umeganda, kila jirani ni vurugu yaani tabu tupu.

Bahati nzuri mama ni zao la JK since then so sitarajii genge la Chato kuleta nongwa
Kwani umekatazwa kufanya biashara?Ninyi mlizoea vya kunyonga.Ila let me tell you this, Watanzania sio wale wa JK,Magu kawaamsha.So do not play games.
 
[emoji106][emoji106]
 
Viongozi waliopita wataheshimiwa kwa kutokana na matendo na jinsi walivyoishi walipokuwa madarakani!!
Kama ndivyo huoni mixed feelings kwa sasa ,wapo waliofurahia na wansohuzunika.

Wanaojiita wanyonge wamexidi kuwa.mafukara afu hawajielewi ,ajira ziko wapi,wastaafu wapi wanalipwa,wafanyakazi je,wakulima je , freedom of speech iko wapi
 
Kuna viherehere fulani ningetamani wafutwe kwenye uso wa siasa kabisa
1.ALLY APPI
2.MAKONDA
3.KENANY DC yule aliechapa wanafunzi
4.PROF MIJICHO KABUDI
5.Pro MPANGO
6.DOTTO WA HADHINA
Umemsahau na yule RC wa mbeya Chalamila
 
Kwani umekatazwa kufanya biashara?Ninyi mlizoea vya kunyonga.Ila let me tell you this, Watanzania sio wale wa JK,Magu kawaamsha.So do not play games.
Amekuamshaje wewe binafsi tuanzie hapo sasa

Wewe ni kajinga fulani huna unachojua,kwa taarifa yako wenye nchi wanaisafisha sasa baada ya kosa la kiufundi 2015
 
Amekuamshaje wewe binafsi tuanzie hapo sasa

Wewe ni kajinga fulani huna unachojua,kwa taarifa yako wenye nchi wanaisafisha sasa baada ya kosa la kiufundi 2015
Mjinga kwa kuwa naipenda nchi yangu?Na kama ni mjinga kwa kuwa sipendi Watanzania waibiwe rasilimali zao,ngoja niwe mjinga.Itanifaidia nini kupata dunia yote,halafu nije niikose Mbingu?
 
All the best to January Makamba
Kuna sheria ambazo hazijaandikwa popote....hazimbebi JM (read "dini"), labda wabadilishe PM. Nje hapo "wagalatia" watapiga kelele, 'mama' kiti atakiona kichungu mapema!
 
Amekuamshaje wewe binafsi tuanzie hapo sasa

Wewe ni kajinga fulani huna unachojua,kwa taarifa yako wenye nchi wanaisafisha sasa baada ya kosa la kiufundi 2015
Mimi sikuhitaji kuamshwa,I new all.Ni wale wananchi ambao hawakujua hata kwamba Tanzania is rich na kwamba hatuhitaji mabeberu kutupa mikopo,after all hela wanazojifanya wanatupa mikopo wametuibia!
 
Kama ndivyo huoni mixed feelings kwa sasa ,wapo waliofurahia na wansohuzunika.

Wanaojiita wanyonge wamexidi kuwa.mafukara afu hawajielewi ,ajira ziko wapi,wastaafu wapi wanalipwa,wafanyakazi je,wakulima je , freedom of speech iko wapi
Angalau under JPM tuliona hela zilikokuwa zinaenda,kwa Mwinyi,Mkapa na Kikwete Tanzania ilikuwa shamba la Bibi.
 
Makamba na Makonda hawafai ni wachumia tumbo.Tunataka watu wazalendo wa kweli,wanaoweza kufanya maamuzi magumu,wenye uthubutu na watakao-wajali wananchi wa kawaida.

Sioni characters hizo kwa January na Makonda,they are opportunistic.
Kumlinganisha Makonda na Makamba ni dhihaka ya hali ya juu. Namuona Makamba kama Waziri wa Mambo ya Nje akajaribu kujenga na kurudisha hadhi ya Tanzania katika uga wa kimataifa ambayo kwa miaka michache ya huyu Mr kutoka jalalani naona imeharibika mnoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…