Wengi mnajadili as if office ya VP ni muhimu sana kwa nchi yetu.

Office ya VP ni geresha, haina mamlaka yeyote zaidi ya kutumwa.

Ukisoma kwenye tivuti ya serikaki ofisi ina kazi 2 tuu.

1. Mazingira
2. Muungano

Kwa sasa ccm wapo kwenye wakati mgumu sana kwa sababu hawakutegemea kwamba siku nchi hii itakua na Rais ambaye hajawahi kuwa na majukumu critical.

Kusema ukweli office ya makamu wa Rais ni geresha.

Mtu muhimu kwa sasa ni spika na waziri mkuu.
 
Sisi tunaenda na mama....

Watake wasitake...

Mama yetu anaweza... tuna imani naye
 
Mijadala ni muhimu, na binadamu amezoea kulonga hata vya kutunga na uongo, bila ushahidi, na hata wewe ukifa tutakusingizia mengi tuu, si ndio ubinadamu!
 
Kwa lipi ama ni mihemuko yako tu na mahaba yako? Tuambie kwa ufupi tu huyu Njaa Nuary katika hii nchi amefanya kitu gani hadi utushawishi tumpe nafasi ya uongozi mkubwa wa nchi? Ana kitu gani cha ziada compared na watanzania wengine? Kuna watanzania wengi tu wazalendo kweli kweli kuliko hawa wa Jakaya regime waliopewa vyeo kwa sababu baba alikuwa katibu wa CCM!
 
Dr Asha Rose Migiro.
 
Wampe huyu mtu wa songi,Katibu Mkuu wa ccm apewe Kinana.
Sukuma land biashara imeisha hio
Kwa mawazo haya ya ukabila na ukanda hamjui mlisemalo. kama kweli nchi hii tutafanya maamuzi based on ukanda na ukabila basi kubalini kwamba viongozii wakuu wa hii nchi watatoka kanda ya Ziwa siku zote. Sababu mnzajua. ACHENI MAMBO YA UKABILA, UDINI NA UKANDA hayatusaidii sana zaidi ya kutubomoa!
 
Hayo yalikuwepo kwa miaka ya utawala wa Magufuli na hukusema kitu...
Wenzako wanataka yakomeshwe...
Ebu "Hamuka"...
 
Hayo yalikuwepo kwa miaka ya utawala wa Magufuli na hukusema kitu...
Wenzako wanataka yakomeshwe...
Ebu "Hamuka"...
Mi siwezi Ku-Hamuka labda uanze wewe unionyeshe jinsi ya Kuhamuka.
 
they should go for a young unpopular ,clever who can be groomed for presidency
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…