Atafaa, maana kiukweli sioni mtu wa kuvaa viatu vyake zaidi ya Kabudi, wengine wote nikiwaangalia nawaona ni rojo rojo kwa mabeberu
Yule big nooo..bora haya makamba anawasema sana mabeberu tunataka mtu wa kuleta uhusiano mzuri na mataifa mengine
 
Pigeni mdomo wa kuwataja waislam ila nawambieni lazima awe mkristo.. sijui nan ila hawezi kiwa musilam .. Kama Raisi atakuwa Samia musilam.. Waziri mkuu Majaliwa muislam.. bado tena ulete VP awee muislam?? Never

Hapo usi sahaku JAJI MKUI NI Muislam..

NB : hatuchagui mashekhe au mapadre but nalizungumzia kwa maana ya Balance of Watawaliwa kupata usawa
 
Emmanuel Nchimbi, aitwe huko alikofichwa Brazil kwa kisingizio Cha ubalozi. Harafu serikali hii inapaswa kuanza hatua za kuziba nyufa alizoacha jpm, ita wale wote walio uhamishoni ng'ambo wake tujenge taifa kwa kufuta kesi ambazo hazina mashiko.
 
January makamba
 
Kanda ya ziwa washachukua sana kuliko kanda zingine zamu ya kanda zingine zingine
 
Jamaa yupo serious sanaa maana ametunyoosha sana sie tulioko sekta ya ardhi. Hata mm namuona kama ni kiongozi mzuri akishirikiana na Majaliwa
Majaliwa yuko too soft.Namkubali Lukuvi.
 
Una ushahidi wa hili? Twiga waliisha porini?

Mahakama ya mafisadi iliishia wapi? Mda umefika yaliyokuwa yamejificha yatajulikana
Comment hii ni ya mtu mwenye mawazo ya kifisadi kabisa.Wewe aidha ni fisadi papa au una una-tamani kuwa fisadi papa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…