Ayo mengine kwenye jitihada,elimu.kuachana na ukabila naungana na wewe,kuachana na mambo ya ukabila pia naungana na wewe,ila kwenye makabila makubwa nakupinga.
Makabila makubwa yapo,sio Tanzania tu hata nchi nyingine zinamakabila makubwa.
 
Ayo mengine kwenye jitihada,elimu.kuachana na ukabila naungana na wewe,kuachana na mambo ya ukabila pia naungana na wewe,ila kwenye makabila makubwa nakupinga.
Makabila makubwa yapo,sio Tanzania tu hata nchi nyingine zinamakabila makubwa.
Nashukuru kuungana na mimi kwa baadhi ya mambo.Sijapinga uwepo wa makabila makubwa,ila hoja yangu ni kuwa ukubwa wao usitufanye tuwaabudu.Ndio maana Nyerere alitoka kabila dogo,Mwinyi,Mkapa,Mkwere,Ingawa ngo sha 😛.Ila ukubwa wa kabila usituletee ishu zao,Kila kabila likidai haki yake kitaeleweka ?Ishu ni kuwa tu fair kwa kila kabila na kila mtu
 
waambieni watu wa makabila yenu wawasomeshe watoto,wajitume, hakuna kitu ambacho wachaga wanafanya kitawashinda makabila mengine! Sasa lisukuma la uko Katavi limevaa mabangili na kanga kama mwanamke, unaliuliza Katavi ni wapi linakujibu sijui wakati linaishi Katavi alafu ndo uje utegemee ata watoto wake waje kua ma manager wa crdb!! Watu wamekumbatia ujinga na wanaendelea kukumbatia ujinga , wengine wakifanikiwa mnaanza kuwaita wezi, kwani we huwezi kuiba?? ulishindwa nn kuwajaza ndugu zako crdb?? good artists copy, great artists STEALS! Sasa ww endelea kutoa macho na kulalamika, maisha ni hayahaya hakuna mengine! KIMEI for VP
 
Mshenzi ni wewe ambaye unadiliki kuwatukana watu wa kasikazini bila kuwa na ushahidi.

Kwa taarifa yako kipindi hiki sasa ndiyo kimefika kwa watanzania woote kufaidi keki ya taifa letu.

Kipindi chenu kimekwisha kwa maana mmetupelekesha kadri mlivyotaka.
Tulieni sindano iwaingie vizuri .
 
Pumbaf sana wewe unadhani matusi hayo unayotukana ndiyo yatarudisha tabaka yenu ?
Kwishaaaaa
 
Huwezi sema masuala ya elimu mwaka huu.Kila kabila limesomesha watu.So mwanya wachaga walikuwa nao sahizi haupo ndo mana kelele nyingi.Kama mi nipo huku miaka 8 Sasa hivi,walio nifata wana mambo yao pia.SO kabila sio kigezo cha ku determine nani kasoma.Nenda pwani huko shule zinaongoaza watu makabila mengi tu.So usilete ujinga wako hapa wa kabila fulani limesoma sana.Kina mwandosya wanyakyusa huko wamekuwa ma professor way back.Kubalini kuna watu walibebwa toka 2010 hapo
 
sasa kama kila kabila limesoma ni kwanini wachaga wanonekana ni wajanja kuliko wengine? N a kwanini wao tu ndo wanogopwa kuliko wengine???
 
Una wivu wa kike ww ukabila na kujifanya wachaga mnaelimu mbona hata wasukuma wasomi wapo kina chenge wale ni wachaga acha dharau ww
 
Akiwa DP itampa nafasi nzuri ya kumshauri Raisi kwenye masuala ya kiuchumi.
Anafit pia kwenye Uwaziri wa:-
FEDHA;
VIWANDA NA BIASHARA;
(au) hata kuwa GOVERNER (BOT).
 
Hatuwezi kuwaepuka kwani katika society zao 70% wanaelimu na wanahitajika katika Nyanja mbali mbali. Ma kabila mengi wenye elimu ni 30-50% ya kabila zima.
Mnataka tuchague wagogo au wazalisha? Tuchague watubwenye uchubwa maendeleo Sisi tutakachoqmbulia kinatosha
 
Naungana na wewe"kabila kubwa lisituletee ishu zao"naungana na wewe ukabila auna maana ima liwe kabila kubwa ama dogo,kabila kubwa sio kigezo cha kukuza uchumi wa nchi wala maendeleo.

Ila ukweli ni kwamba yapo makabila makubwa na madogo,sio Tanzania tu nchi nyingi za Africa hii kitu ipo.ni swala la nature auwezi kupingana na nature ya mambo jinsi yalivyo bwashee.
Hata wewe kuna comment umejitambulisha kwa kabila lako na asili yako ulipotokea,ukujitambulisha wewe kama mtanzania.
Ukweli wa mambo uwezi kuukwepa.
 
sasa kama kila kabila limesoma ni kwanini wachaga wanonekana ni wajanja kuliko wengine? N a kwanini wao tu ndo wanogopwa kuliko wengine???
Mi ni example ya wa kinga kuwakimbiza wachaga.So haijalishi kabila,elimu wala nini,Pata right information wapi ku strike,then boom.Hata m hadzabe akipewa right info mbona anatawanya watu mjini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…