Usizungumze usilolijua, watu wanaajiriwa kimya kimya kwa vimemo
 
Nimewasoma wote naona wewe ndio mwenye akili za kutosha Mimi sio mchaga lakini nataka MTU anayeleta maendeleo bila kujari ukabira wake, hata hivyo hakuna Kabita lisilopenda kwao.
 
Ah jamani kama nilivyowahi kusema huko nyuma, kuna watu huwa wanaandika huu bila ya kufikiri au kusoma wanachokiandika. Sasa wewe unamsifu huyu mtu na unasema aliambiwa akanushe makosa aliyoyaona ili alinde ugali wake, na akafanya hivyo na unataka mtu huyo sasa achaguliwe kuwa makamu wa raisi? Sasa kama aliogopa kusema kweli huko nyuma unadhani atasema ukweli sasa? si atakuwa "a yes man" tu? Unajua kuwa hali ya tanzania ni kuwa punda ni yule yule lililobadilika ni soji tu? Serikali ni ile ile, chama ni kile kile na jeshi na polisi ni lile lile!
 
Mchague awe makamo wa Raisi wa familia yako kama unampenda sana.
 
Hahahaah Tanzania itamilikiwa na wachaga tupu kama ilivo crdb
 
Nimewasoma wote naona wewe ndio mwenye akili za kutosha Mimi sio mchaga lakini nataka MTU anayeleta maendeleo bila kujari ukabira wake, hata hivyo hakuna Kabita lisilopenda kwao.
Mchukue ukanywe naye chai kwako[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Unatumia nn kifikiri mkuu..with no offence
[emoji527]
 
Itakuwa ni kosa kubwa kuliko kuiuza nchi kwa wazungu. Wachaga wana roho mbaya sana na ubinafsi mkubwa.

Wanawake watatukana sana wanaume hasa wa makabila mengine kwani wanaume watakuwa wachaga tu
 
Naona Bashiru anapigiwa Sana Chapuo kwenye Mitandao Mingi.

Ila Kwa Maoni yangu Bashiru simuoni Kama ni Mtu sahihi kabisa Kuwa Makamu wa Rais

Kwa Hoja zangu kadhaa

1.Bashiru ni Mtu anayedhani hakuna mfumo zaidi ya socialism, kwenye kuamini mfumo (Economy)yaan Tuna Mixed , Capitalism na Socialism, Naona Kwa Sasa ni Vema tukawa na mtu wa Kuweza kuyaona Mazuri ya Capitalism na mazuri ya socialism akayachanganya,

Dr Bashiru Ni Mfuasi wa Siasa za Nyerere ambaye kafanya kazi kubwa kuliko wote waliowai kuongoza Tanzania, wenda ni Kwakuwa alikaa Sana madarakani, Ila Nyerere Mwenyewe alifika Muda akasema Hapa basi maana aina ya uchumi unavyobadilika uwezi Kuwa static lazima ubadilike, aliamua ku step down akawaacha Kina Mwinyi, Ila Bashiru maono yake anadhani sisi bado tupo ujamaa wa URUSI

2.Namba Mbili Bashiru ni mtu Mwenye Kubadili misimamo kwenye Mambo ya Msingi saa nyingine Kuyakana hata maandishi yake, Mfano Bashiru amewai itetea serikali Tatu, Lakin Muda huu kageuka, Alikuwa kama alivyo Pole pole au Kabudi, hawa wote ni Wale walioikubali Randama ya Katiba ya Warioba Lakin leo wana Msimamo tofaut , Mtu anayegeuka geuka si wa Kuamini Sana,

3.Bashiru Kiongozi wetu ana hulka ya Kanda yetu Ile ambayo inaona kila kitu wao wanaweza, ndo tuna akili kuzidi wengine, IMLA itatawala.

4.Bashiru hakuwai kufanya kazi ya Kumpa Credit yaan remarkable task ambayo ni reference , hata ile report ya Mali za CCM alitambalia nguvu za uthubutu wa Magufuli, na mbaya zaidi ile report ngoja nisi Disclose Sana Lakin Kuna mambo hayako sawa sana . Tuiache

5.Visasi

Nitaendelea baadae


Note that haya ni Maoni yangu kabisa, pamoja na Kwamba ana Madhaifu hayo anatuzidi sifa wengi tunaotajwa tajwa kwa Wakati huu,

Hata wengine tutawachambua

Ila Mama akitaka afanikiwe avae viatu vyake asiige kuvaa vya Magufuli,

Ila avae zaidi ya Viatu vya Magufuli. Avae Vyake ,

Tunataka Makamu atakaye weza Kusimama na Mama bila kuogopa au kummislead

Achague mtu asiye na Jina sanaa ila Mtendaji, Naona atoke Jeshini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…