Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
Weusi iko vizuri!Salam,
Kwa kile kinachoonyesha kuwa ni kuendana na upepo wa kisiasa wasanii wameonekana kuhamia kwenye muziki wenye maudhui ya kisiasa na haswa kwa kinachoendelea katika uongozi uliopo madarakani. Mpaka sasa kuna hizi nyimbo ambazo zina uelekeo huohuo....
1. Ney wa mitego- Wapo
2. Baghdadi- Usinipangie
3. Weusi- Madaraka (nasubiri official release, ila intro ipo youtube)
List inaendelea......
My take:
Huu ni mgomo baridiiii wa wasanii kwa serikali iliyopo madarakani.
Omba langu, wasanii mje na namna maalumu ya kucheza hizi hits za kipindi hiki.
Kazi ya msanii ni kuonya, kuburudisha na kufundisha.... Kwa upepo ulivyo, wapo sahihi kabisa.... Ila wacheze na fasihi.Wewe unaona sawa au wanakosea nn
Ndio hivyo yaanKazi ya msanii ni kuonya, kuburudisha na kufundisha.... Kwa upepo ulivyo, wapo sahihi kabisa.... Ila wacheze na fasihi.
Naomba kama unahii ya wagosi wa kaya niwekee hapa mkuukuna nyingine ya wagosi wa kaya hiyo ndio imeua kabisa
kuna nyingine ya wagosi wa kaya hiyo ndio imeua kabisa
Kumbuka bado tunakuoenda rubii.Namimi nitatoa yangu soon
Ya weusi ishatoka?Hii ya weusi ndo iko vizuri na inafikirisha zaidi sio Hao vichaa wengine
Salam,
Kwa kile kinachoonyesha kuwa ni kuendana na upepo wa kisiasa wasanii wameonekana kuhamia kwenye muziki wenye maudhui ya kisiasa na haswa kwa kinachoendelea katika uongozi uliopo madarakani. Mpaka sasa kuna hizi nyimbo ambazo zina uelekeo huohuo....
1. Ney wa mitego- Wapo
2. Baghdadi- Usinipangie
3. Weusi- Madaraka (nasubiri official release, ila intro ipo youtube)
List inaendelea......
My take:
Huu ni mgomo baridiiii wa wasanii kwa serikali iliyopo madarakani.
Omba langu, wasanii mje na namna maalumu ya kucheza hizi hits za kipindi hiki.
Jina lake tafadhali maana wale nawaelewa Sana wako vizurikuna nyingine ya wagosi wa kaya hiyo ndio imeua kabisa
Namimi nitatoa yangu soon
Naisubiria kwa hamu ila angalia bwana usije kamatwa tukaku-missNamimi nitatoa yangu soon