WirelessBrain
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 980
- 1,350
Gooood!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salam,
Kwa kile kinachoonyesha kuwa ni kuendana na upepo wa kisiasa wasanii wameonekana kuhamia kwenye muziki wenye maudhui ya kisiasa na haswa kwa kinachoendelea katika uongozi uliopo madarakani. Mpaka sasa kuna hizi nyimbo ambazo zina uelekeo huohuo....
1. Ney wa mitego- Wapo
2. Baghdadi- Usinipangie
3. Weusi- Madaraka (nasubiri official release, ila intro ipo youtube)
List inaendelea......
My take:
Huu ni mgomo baridiiii wa wasanii kwa serikali iliyopo madarakani.
Omba langu, wasanii mje na namna maalumu ya kucheza hizi hits za kipindi hiki.
sanaWeusi iko vizuri!
Kumbe mamvi ndio anawalipa! Tumeshajua sasa.Online release is the best huko sirikali haina control
watoe song nyingi sana ili wajue kua tunachoshwa na Ubashite [HASHTAG]#freedomofspeech[/HASHTAG]