Baada ya 'Kiki' kuhamia kwenye siasa, wasanii waja na Gia nyingine

Baada ya 'Kiki' kuhamia kwenye siasa, wasanii waja na Gia nyingine

hii ya weusi inachoma mpaka kumoyo kwa walengwa ila wataishia kunung'unika tuu hawambulii kitu nyimbo kali sana
 
Nyimbo ya weusi ni nzuri mno.kama huku I kucheza hata kichwa utatingisha.na maneno yao ni mafumbo ya ndani kabisa
 
Ujumbe unatakiwa kupenya moja kwa moja acha upimbi,
Watanzania wameshavurugwa hawana muda wa kufikiria kbs........
Upimbi na mwenzio yupo nyuma ya nondo sasa kwa sifa za kijinga
 
Hiyo ya weusi haiwezi kuwa kali kwa sababu wanatumia nguvu nyingi kuficha maudhui,ila Ney kawa wazi kabisa bila kufichaficha na ni kitu wanachopenda waTz
 
Sio suala la mgomo baridi. Ndio wajibu wa wasanii. Msanii hasa wana Hip Hop ni watu walio front kuikemea serikali na jamii. Na honestly Kina nikki wameonyesha usomi na ukomavu mkubwa sana. Its a song ambao imefichwa kiasi msg lakini inaeleweka na si matusi.
 
Hahahaaaa weusi bana et hiyo sio sawa derevaaa acha vitukoooo
 
Back
Top Bottom