Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una link yake utuwekee hapahii ya weusi inachoma mpaka kumoyo kwa walengwa ila wataishia kunung'unika tuu hawambulii kitu nyimbo kali sana
https://my.notjustok.com/track/download/id/198693/by/EJmWDRAimoUna link yake utuwekee hapa
Ujumbe unatakiwa kupenya moja kwa moja acha upimbi,Hii ya weusi ndo iko vizuri na inafikirisha zaidi sio Hao vichaa wengine
Upimbi na mwenzio yupo nyuma ya nondo sasa kwa sifa za kijingaUjumbe unatakiwa kupenya moja kwa moja acha upimbi,
Watanzania wameshavurugwa hawana muda wa kufikiria kbs........
Ya mchanga auNamimi nitatoa yangu soon
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hao wanaosemwa hawana haja na ufikirisho. Wakihisi wanasemwa wao wanaagiza wakamataji fastaHii ya weusi ndo iko vizuri na inafikirisha zaidi sio Hao vichaa wengine
Unaitwaje huuHuu wimbo wa Weusi nawaona Bashite na Lemutuz.
Unaitwaje huu
Kabisa hicho unacholonga ndicho kitakiwacho. Hapo ndipo tutaona nini maana ya msanii.Kazi ya msanii ni kuonya, kuburudisha na kufundisha.... Kwa upepo ulivyo, wapo sahihi kabisa.... Ila wacheze na fasihi.