GE2025 Baada ya kimya cha muda Kikwete aonekana kwenye kampeni, Bagamoyo mkoani Pwani

GE2025 Baada ya kimya cha muda Kikwete aonekana kwenye kampeni, Bagamoyo mkoani Pwani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete leo Oktoba 10, 2025 ameshiriki kwenye mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Bagamoyo mkoani Pwani.
 
Back
Top Bottom