Habari jf , binafsi kama Sukuma Gang na mfuasi wa falsafa za hayati Magufuli kwa akili yangu nimeamua kumuamini Rais wangu mama Samia .
Hii ni baada ya kufanya tathmini na kugundua Rais Samia ana mipango na malengo mazuri na hii nchi .
Hivyo kwa kuanza namshauri haya mambo manne :-
1.Afute mikutano ya siasa mpaka 2025 baada ya miradi mingi kuonekana ufanisi wake .
2.Kwa ninavyowajua wajumbe wengi wa NEC ni watu wenye uelewa mkubwa wa mambo ,hivyo hawa watu 20 ndio wawe washauri wake ,aache kusikiliza kila mtu .
3.Awe makini na wanaofukuzia Urais hata kama ni wajumbe wa NEC ,eg J makamba ,Mwigulu etc...
4.Mwisho Rais wangu Demokrasia haijawahi kuwa chanzo cha maendeleo , Maendeleo ndio sehemu nyingi yalianza ndio ikaja Demokrasia .
Na Demokrasia ndio chanzo kikubwa cha migogoro na umaskini Africa .Hivyo awe makini na neno Demokrasia .
Ni ngumu muda mwingine kusikiliza maoni ya vijana wanao fikiri ni bora wapewe uhuru wa kutukana mitandaoni kuliko kuletewa Maendeleo .
Na hayo tu.
Kazi iendelee