Baada ya kimya kirefu nimeamua kumsupport Rais wangu na hizi ndizo nondo nne za kuanza nazo

Habari jf , binafsi kama Sukuma Gang na mfuasi wa falsafa za hayati Magufuli kwa akili yangu nimeamua kumuamini Rais wangu mama Samia .

Hii ni baada ya kufanya tathmini na kugundua Rais Samia ana mipango na malengo mazuri na hii nchi .

Hivyo kwa kuanza namshauri haya mambo manne :-

1.Afute mikutano ya siasa mpaka 2025 baada ya miradi mingi kuonekana ufanisi wake .

2.Kwa ninavyowajua wajumbe wengi wa NEC ni watu wenye uelewa mkubwa wa mambo ,hivyo hawa watu 20 ndio wawe washauri wake ,aache kusikiliza kila mtu .

3.Awe makini na wanaofukuzia Urais hata kama ni wajumbe wa NEC ,eg J makamba ,Mwigulu etc...

4.Mwisho Rais wangu Demokrasia haijawahi kuwa chanzo cha maendeleo , Maendeleo ndio sehemu nyingi yalianza ndio ikaja Demokrasia .

Na Demokrasia ndio chanzo kikubwa cha migogoro na umaskini Africa .Hivyo awe makini na neno Demokrasia .

Ni ngumu muda mwingine kusikiliza maoni ya vijana wanao fikiri ni bora wapewe uhuru wa kutukana mitandaoni kuliko kuletewa Maendeleo .

Na hayo tu.

Kazi iendelee

Kweli huyo ni Rais wako lakini si Rais wa wote kimoyo. Wewe mu support lakini jua una support pia uongozi dhaifu na usio na dhamira kwa wananchi na Taifa. Coz RUSHWA na ufisadi unatisha kwasasa. Huduma za kijamii zimelegea mno
 
Kama kukosekana demokrasia kunaleta maendeleo,

Afrika ndio ilipaswa kuongoza kwa maendeleo duniani kwani ndio sehemu isiyo na demokrasia zaidi.
Kwamba Afrika ndio Sehemu isiyo na Demokrasia ni Uongo, na, ni Upotoshaji

Hayo maneno yako ni ya Uwongo uliopitiliza. Wazungu wamekuta Demokrasia imeshamiri Afrika na iliwashangaza. The subject is well Documented

Wacha kejeli.
 
Habari jf , binafsi kama Sukuma Gang na mfuasi wa falsafa za hayati Magufuli kwa akili yangu nimeamua kumuamini Rais wangu mama Samia .

Hii ni baada ya kufanya tathmini na kugundua Rais Samia ana mipango na malengo mazuri na hii nchi .

Hivyo kwa kuanza namshauri haya mambo manne :-

1.Afute mikutano ya siasa mpaka 2025 baada ya miradi mingi kuonekana ufanisi wake .

2.Kwa ninavyowajua wajumbe wengi wa NEC ni watu wenye uelewa mkubwa wa mambo ,hivyo hawa watu 20 ndio wawe washauri wake ,aache kusikiliza kila mtu .

3.Awe makini na wanaofukuzia Urais hata kama ni wajumbe wa NEC ,eg J makamba ,Mwigulu etc...

4.Mwisho Rais wangu Demokrasia haijawahi kuwa chanzo cha maendeleo , Maendeleo ndio sehemu nyingi yalianza ndio ikaja Demokrasia .

Na Demokrasia ndio chanzo kikubwa cha migogoro na umaskini Africa .Hivyo awe makini na neno Demokrasia .

Ni ngumu muda mwingine kusikiliza maoni ya vijana wanao fikiri ni bora wapewe uhuru wa kutukana mitandaoni kuliko kuletewa Maendeleo .

Na hayo tu.

Kazi iendelee

Kweli Kuna watu na viatu yaani huo ushubwada ndo unauita nondo?
 
Kweli huyo ni Rais wako lakini si Rais wa wote kimoyo. Wewe mu support lakini jua una support pia uongozi dhaifu na usio na dhamira kwa wananchi na Taifa. Coz RUSHWA na ufisadi unatisha kwasasa. Huduma za kijamii zimelegea mno
Sukuma Gang at work.
 
Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache ndoa hii na Waarabu​

CHADEMA mkome. You must cease and desist.
Acheni kuendeleza ajenda yenu ya kuwaangamiza kabila la WASUKUMA

Ieleweke, hakuna Genge wala gang lelote lile Tanzania linaloitwa "Sukuma gang" Kuna Kabila la WASUKUMA.

CHADEMA and its affiliate, must stop the secessionist and genocidal agenda aginst the WASUKUMA tribe!

Stop!

Mustakabhali wa nchi uwe ndio hivyo tu, na sio wa kuufanya uwe wa ubaguzi baguzi ndio muweze kufikisha jumbe zenu.

Again, stop your online terrorism.
 
Swali likiisha ulizwa ni limeulizwa na lilijibiwa, hivyo limeisha.
P
Haya mkuu, kazi iendelee. Tumepata comparative analysis ya situation zote katika nchi moja na behaviour za Watz kwenye mazingira ya udikteta na demokrasia, lkn potelea mbali acha demokrasia ishamiri, tusirudi kule.
 
dirty-boots-picture-id525654821
 
CHADEMA mkome. You must cease and desist.
Acheni kuendeleza ajenda yenu ya kuwaangamiza kabila la WASUKUMA
Tumewasamehe lakini hatutasahau, ili tusirudie makosa, mwacheni mama achape kazi, kama ninyi mlivyopewa nafasi.
 
Kwamba Afrika ndio Sehemu isiyo na Demokrasia ni Uongo, na, ni Upotoshaji

Hayo maneno yako ni ya Uwongo uliopitiliza. Wazungu wamekuta Demokrasia imeshamiri Afrika na iliwashangaza. The subject is well Documented

Wacha kejeli.
Narudia tena, Afrika ndio bara linaloongoza kwa kuwa na demokrasia duni. Kama maendeleo ni dalili ya kutokuwepo kwa demokrasia, basi Afrika ilipaswa kuwa na maendeleo zaidi. Hutaki jinyonge.
 
Mikutano yenyewe ukisikiliza hamna cha maana wanaongea, bora tu ifutwe kwakweli.
 
Back
Top Bottom