Baada ya kivuko eneo la Busisi kuzingua na kushindwa kutoa huduma, watu wamevunja geti la Daraja la Magufuli, kisha kuvuka kwa mguu hadi ng’ambo kama video inavyoonesha.
DC ASEMA HAWAJAVUNJA GETI WAMERUHUSIWA KUPITA
Alipoulizwa na JamiiForums kuhusu kilichotokea, Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga anasema “Hawajavunja geti, ilikuwa jana (Januari 26, 2025) baada ya vivuko kusimama kutoa huduma kutokana na changamoto ya uwepo wa magugumaji.
"Majani hayo yalikuwa mengi kiasi kwamba ingeweza kuathiri utendaji kazi wa vivuko, hivyo kilichofanyika ulifanyika utaratibu Wananchi wakafunguliwa geti na kupitia kwenye njia ile nyingine ya Daraja.
“Sio kweli kuwa wamevunja geti, nadhani ni ile furaha tu ya kuruhusiwa kupita ndio wakajikuta wengine wanasema hivyo, geti lipo vizuri na halina changamoto yoyote.”
Hawa waafrika wengi ni watu wa kuishi kwa kudura sana.
Yani hawajui kuwa kitendo cha kutofunguliwa geti inawezekana daraja halijakamilika/halijaandaliwa kwa matumizi, na huko wanakokimbilia wanaweza kusababisha ajali kubwa.
Hawa waafrika wengi ni watu wa kuishi kwa judura sana.

Hilo walilopita ni lile la dharura mzee ambalo linatumika kupitishia malighafi za ujenzi wa hilo daraja
Lakini vilevile magari ya serikali na viongozi siku hizi hawatumii vivuko huwa wanapita tu hapo sizani kama linaweza kupitisha magari mazito then liwe threat kwa waenda kwa miguu!