Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Kuna matatizo ukiyafuata yakikukuta hutakiwi kulia unanyamaza tusasa wacheke mkuu..🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna matatizo ukiyafuata yakikukuta hutakiwi kulia unanyamaza tusasa wacheke mkuu..🤣
wanasema unakufa kisabuni..🤣Kuna matatizo ukiyafuata yakikukuta hutakiwi kulia unanyamaza tu
Mkuu,Kwa nini "Wasukuma" wanapenda kujirekodi wanapokuwa wanafanya uhalifu. Mwingine yule Gozbert juzi.
Taifa lina mang'ombe wengi sana....huyu lofa anakenua tu....hatari sanaHawa waafrika wengi ni watu wa kuishi kwa judura sana.
Yani hawajui kuwa kitendo cha kutofunguliwa geti inawezekana daraja halijakamilika/halijaandaliwa kwa matumizi, na huko wanakokimbilia wanaweza kusababisha ajali kubwa.
"Msukuma" ni figure of speech tu😂Mkuu,
Gozbert sio msukuma ni mhaya alie kulia/ zaliwa mwanza.
Kuhusu uhalifu ni sawa sawa na wewe ukusanye nguo zako uzichoke moto au kubomoa nyumba yako mwenyewe/ sizani Kama ni kosa kwa mtu kuharibu/ destroy/ disposal kitu chake 😊😅
Mbona gozbert anadunda mtaani Ile ni mali yake akaipeleka nje ya mji kaiwasha moto 😊😅"Msukuma" ni figure of speech tu😂
Ni kosa kubwa sana kuchoma kitu kama nyumba, mali yako nyingine. Hata tu kuanzisha moto. Adhabu yake ni hadi kifungo cha maisha. Usiposhitakiwa kwa arson utashitakiwa na watu wa mazingira. Maana kwenye gari kuna chemical na vitu vingine ambavyo haviruhusiwi kuwa disposed kwa kuchoma.
Tatizo si uzito unaoweza kubebwa na daraja.Kama magari yanayotumika kwenye ujenzi yanapita kwenye hilo daraja dogo basi lina uzito wa kubeba hao watu na magari ya abiria yasiyo na abiria ndani yake.Tatizo hapo ni umbali maana ni almost 3.2 km hivyo kwa kutembea ni parefu sana
Wamemvungia tuMbona gozbert anadunda mtaani Ile ni mali yake akaipeleka nje ya mji kaiwasha moto 😊😅
Mbona wanacheka bila kipimo“Sio kweli kuwa wamevunja geti, nadhani ni ile furaha tu ya kuruhusiwa kupita ndio wakajikuta wengine wanasema hivyo, geti lipo vizuri na halina changamoto yoyote.”
Kabisa... Nimeogopa sana..Hawa waafrika wengi ni watu wa kuishi kwa kudura sana.
Yani hawajui kuwa kitendo cha kutofunguliwa geti inawezekana daraja halijakamilika/halijaandaliwa kwa matumizi, na huko wanakokimbilia wanaweza kusababisha ajali kubwa.
Kilometer 3 kutembea ni parefu? 🤣Kama magari yanayotumika kwenye ujenzi yanapita kwenye hilo daraja dogo basi lina uzito wa kubeba hao watu na magari ya abiria yasiyo na abiria ndani yake.Tatizo hapo ni umbali maana ni almost 3.2 km hivyo kwa kutembea ni parefu sana
Ndio, kuna baahi ya abiria ni wazee watoto, wagonjwa na walemavu.kwa hizo km ni umbali mrefu kwaoKilometer 3 kutembea ni parefu? 🤣
Sasa walikuwa wanakimbilia wapiWakuu
Baada ya kivuko eneo la Busisi kuzingua na kushindwa kutoa huduma, watu wamevunja geti la Daraja la Magufuli, kisha kuvuka kwa mguu hadi ng’ambo kama video inavyoonesha.
Soma, Pia: Vivuko vya Kigongo-Busisi havifanyi kazi leo. Daraja lifunguliwe kwa dharura kuruhusu magari
DC ASEMA HAWAJAVUNJA GETI WAMERUHUSIWA KUPITA
Alipoulizwa na JamiiForums kuhusu kilichotokea, Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga anasema “Hawajavunja geti, ilikuwa jana (Januari 26, 2025) baada ya vivuko kusimama kutoa huduma kutokana na changamoto ya uwepo wa magugumaji.
"Majani hayo yalikuwa mengi kiasi kwamba ingeweza kuathiri utendaji kazi wa vivuko, hivyo kilichofanyika ulifanyika utaratibu Wananchi wakafunguliwa geti na kupitia kwenye njia ile nyingine ya Daraja.
“Sio kweli kuwa wamevunja geti, nadhani ni ile furaha tu ya kuruhusiwa kupita ndio wakajikuta wengine wanasema hivyo, geti lipo vizuri na halina changamoto yoyote.”
Nimeshawahi kutembea mara nyingi tu km 20Kilometer 3 kutembea ni parefu? 🤣
Wakuu

Nimemshangaa jamaa kusema km 3 ni nyingi kutembea.Nimeshawahi kutembea mara nyingi tu km 20