The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Hivi ile ni ngumi ya kumuangusha Tyson? Sijaangalia pambano, nimeliona tu kama highlights kule kwa bwana Elon Musk lakini sijaona ngumi ya kumpeleka chini Tyson.
Nimeona kuna mtu alimuuliza Tyson kama ile ilikua staged ama lah. Yaani ilikua ni WWE ama lah.
Mimi binafsi nikitaka kuangalia Ngumi naangalia za kuanzia miaka ya 70 hadi 2010's. Baada ya hapo hakuna ngumi kwa mtazamo wangu.