Baada ya kiwango kizuri alichokionesha Francis Nganou, nashauri apewe Daniel Dynamite Dubois

Baada ya kiwango kizuri alichokionesha Francis Nganou, nashauri apewe Daniel Dynamite Dubois

Hivi ile ni ngumi ya kumuangusha Tyson? Sijaangalia pambano, nimeliona tu kama highlights kule kwa bwana Elon Musk lakini sijaona ngumi ya kumpeleka chini Tyson.

Nimeona kuna mtu alimuuliza Tyson kama ile ilikua staged ama lah. Yaani ilikua ni WWE ama lah.

Mimi binafsi nikitaka kuangalia Ngumi naangalia za kuanzia miaka ya 70 hadi 2010's. Baada ya hapo hakuna ngumi kwa mtazamo wangu.
 
Sasa mpinzani pekee anayetakiwa kuanza naye Francis ni triple D na sio Deontay Wilder wala Anthony Joshua kama baadhi ya wadau wa boxing walivyosuggest

Hapo kwa Deontay Wilder lazima umeze mate kwanza ndio uendelee kuongea coz he's fckn lit

Bt kwa lile pambano la Ngannou na Fury nazani Fury technique zake ni kushikana shikana coz kwanza ni mzito then akikukumbatia uzito wake wote anakuongezea wew so hapo ukishindwa kum-balance kama Ngannou alivyo mkwepa kwepa basi utawahi kuchoka

Last year kwenye pambano la Deontay Wilder na Fury naona Wilder alibanwa na zile punch zake nzito zilishindwa kutoka
 
Back
Top Bottom