Baada ya Korea Kaskazini kurusha kombora, Korea Kusini wajibu lakini kombora lashindwa kupaa

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini

Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya Japan - kati ya rasi ya Korea na Japan.

Pyongyang ilifanya jaribio la kombora la masafa ya kati siku ya Jumanne, na kupeleka katika anga la Japan kwa mara ya kwanza tangu 2017. Kujibu, Marekani, Japan na Korea Kusini zimekuwa zikifanya mazoezi ya kijeshi katika kuonyesha nguvu.

Siku ya Jumatano Korea Kusini na Marekani kila moja ilirusha jozi ya makombora ya Mfumo wa Kombora wa Kijeshi wa Marekani, kulingana na taarifa.

Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Marekani John Kirby aliiambia CNN uzinduzi huo uliundwa ili kuonyesha Marekani na washirika wao wana "uwezo wa kijeshi ulio tayari kujibu chokochoko za Kaskazini". Kombora la Korea Kusini lilishindwa muda mfupi baada ya kurushwa na kuanguka, lakini hakusababisha hasara, jeshi lake liliripoti tofauti.

Uamuzi wa Pyongyang wa kutuma kombora juu ya anga la Japan siku ya Jumanne umeonekana kama upanuzi wa makusudi wa kuvutia Tokyo na Washington.

Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida alielezea uzinduzi huo kama "tabia ya ukatili", huku Rais wa Marekani Joe Biden akitilia mkazo "dhamira ya kushirikiana" ya Washington katika utetezi wa Japan wakati wa mazungumzo ya simu na Bw Kishida.

Baadaye siku ya Jumanne, msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby alisema ni "dhahiri inavuruga utulivu.

"Wakati kombora hilo likiruka juu ya anga la Japan siku ya Jumanne, watu wa kaskazini, ikiwa ni pamoja na kisiwa cha Hokkaido na katika mji wa Aomori, waliamka baada ya kelele za ving'ora na arifa za maandishi zilizosomeka: "Korea Kaskazini inaonekana kufyatua kombora. Tafadhali ondokeni. ndani ya majengo au chini ya ardhi’’.
 
Hivi US anashindwa kuishambulia kwa ambush yena mara moja Korea Kaskazini na kubadili utawala pale maana wanahatarisha maisha ya majirani zake..

Au US hana uhakika wapi zilizo silaha za Nyuklia za Korea Kaskazini?

Sasa nini maana ya kuwa superpower?
 
ametathimini revenge ya kiduku itakuwa na disaster hata kwenye ardhi ya marekani
 
Hivi US anashindwa kuishambulia kwa ambush yena mara moja Korea Kaskazini na kubadili utawala pale maana wanahatarisha maisha ya majirani zake..

Au US hana uhakika wapi zilizo silaha za Nyuklia za Korea Kaskazini?

Sasa nini maana ya kuwa superpower?
Kuipindua serikali ya nchi nyingine sio rahisi kama unavyo fikiri.
 
Miaka hii twashuhudia mengi ya kushangaza.Mataifa makubwa kunyamazishwa na mataifa madogo.Na yale yanayotajwa kuwa mbele kiteknolojia kushindwa na teknolojia za mataifa yenye njaa.

Hivi ndivyo ilivyotokea hapo juzi na jana.

Korea Kaskazini ilianza kwa kufyatua kombora lake kwa ufanisi mkubwa na kulirusha juu ya Japan likatua llilikotakiwa kutua.Korea Kusini ndugu na jirani yake na hasimu yake kwa wakati mmoja kwa kushirikiana na taifa chochezi la Marekani wakaamua kujibu kwa kufyatua kombora lao kama jibu ya tukio la Koea kaskazini.

Kwa aibu na kishindo kikubwa kombora hilo limeripuka kwenye anga lake hilo hilo liliporushwa jambo ambalo limewatia ugonjwa wa moyo wakorea wengi wakidhani sasa wamepigwa.

1664957173293.png
 
Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu korea Kaskazini

Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya Japan - kati ya rasi ya Korea na Japan.

Pyongyang ilifanya jaribio la kombora la masafa ya kati siku ya Jumanne, na kupeleka katika anga la Japan kwa mara ya kwanza tangu 2017. Kujibu, Marekani, Japan na Korea Kusini zimekuwa zikifanya mazoezi ya kijeshi katika kuonyesha nguvu.

Siku ya Jumatano Korea Kusini na Marekani kila moja ilirusha jozi ya makombora ya Mfumo wa Kombora wa Kijeshi wa Marekani, kulingana na taarifa.

Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Marekani John Kirby aliiambia CNN uzinduzi huo uliundwa ili kuonyesha Marekani na washirika wao wana "uwezo wa kijeshi ulio tayari kujibu chokochoko za Kaskazini". Kombora la Korea Kusini lilishindwa muda mfupi baada ya kurushwa na kuanguka, lakini hakusababisha hasara, jeshi lake liliripoti tofauti.

Uamuzi wa Pyongyang wa kutuma kombora juu ya anga la Japan siku ya Jumanne umeonekana kama upanuzi wa makusudi wa kuvutia Tokyo na Washington.

Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida alielezea uzinduzi huo kama "tabia ya ukatili", huku Rais wa Marekani Joe Biden akitilia mkazo "dhamira ya kushirikiana" ya Washington katika utetezi wa Japan wakati wa mazungumzo ya simu na Bw Kishida.

Baadaye siku ya Jumanne, msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby alisema ni "dhahiri inavuruga utulivu.

"Wakati kombora hilo likiruka juu ya anga la Japan siku ya Jumanne, watu wa kaskazini, ikiwa ni pamoja na kisiwa cha Hokkaido na katika mji wa Aomori, waliamka baada ya kelele za ving'ora na arifa za maandishi zilizosomeka: "Korea Kaskazini inaonekana kufyatua kombora. Tafadhali ondokeni. ndani ya majengo au chini ya ardhi’’.
Sio kweli kombora la South Korea na Marekani successfully lakini sio tu successfully bali walitega shabaha kwa kitu walichokitegesha mbali baharini na likaenda kupiga on the spot.,
 
Hivi US anashindwa kuishambulia kwa ambush yena mara moja Korea Kaskazini na kubadili utawala pale maana wanahatarisha maisha ya majirani zake..

Au US hana uhakika wapi zilizo silaha za Nyuklia za Korea Kaskazini?

Sasa nini maana ya kuwa superpower?
duh mkuu dunia inakuwa inakuangalia tu ? USA anajua kila anachofanya , Urusi angekuwa kweny nafas ya USA bas angekuwa kaivamia kitambo sabab Urusi ni kubwa jinga halitumii akili linatumia nguv nying
 
Hivi US anashindwa kuishambulia kwa ambush yena mara moja Korea Kaskazini na kubadili utawala pale maana wanahatarisha maisha ya majirani zake..

Au US hana uhakika wapi zilizo silaha za Nyuklia za Korea Kaskazini?

Sasa nini maana ya kuwa superpower?
Inahitaji timing na intelligence nzuri, kwa yanamkuta Mrusi, nchi inabidi ifanye homework nzuri kabla ya kuvamia nchi nyingine.
 
Hivi US anashindwa kuishambulia kwa ambush yena mara moja Korea Kaskazini na kubadili utawala pale maana wanahatarisha maisha ya majirani zake..

Au US hana uhakika wapi zilizo silaha za Nyuklia za Korea Kaskazini?

Sasa nini maana ya kuwa superpower?
Marekani ana wanajeshi zaidi ya 30000 South Korea na Japan
Ana wakazi wengi kwenye hizo nchi 2

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom