Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Habari wana Jamvi
kutokana na uzoefu wa kupiga nyeto takriban mwaka mmoja sasa nimeamua kujikana mwenyenyeeee kabisa.
Nina kama niezi mitatu sasa tangu niache ponyeto lakini cha kushangaza usiku wa manane mida kama ya saba na saa nane najikuta kuota ndoto za kufanya mapenzi na wanawake ambao na wafahamu kabisa na kujikuta najimwagia mahormone kwenye mapaja, na hili tatizo limenituka kwa siku tano sasa
Hivi huku ni kulogwa ama ni tayari muscles za my pen.. ndo zimeingiliwa na udhaifu?