Baada ya kuacha kupiga Punyeto

Baada ya kuacha kupiga Punyeto

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,596
Reaction score
2,226
Habari wana Jamvi
kutokana na uzoefu wa kupiga nyeto takriban mwaka mmoja sasa nimeamua kujikana mwenyenyeeee kabisa.

Nina kama niezi mitatu sasa tangu niache ponyeto lakini cha kushangaza usiku wa manane mida kama ya saba na saa nane najikuta kuota ndoto za kufanya mapenzi na wanawake ambao na wafahamu kabisa na kujikuta najimwagia mahormone kwenye mapaja, na hili tatizo limenituka kwa siku tano sasa

Hivi huku ni kulogwa ama ni tayari muscles za my pen.. ndo zimeingiliwa na udhaifu?
 
Inafika muafaka hata mda wa kulala nauchukia
Mkuu usiogope wenda MUSCLE zinajiludi na kujiunda upya hivyo ni misisimko ya mwili lengo kuzipa nguvu MUSCLE za penis zikae katika mstari mnyoofu.

Nimejaribu tu kukutoa wasiwasi ila nenda kamwone DOCTOR

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Thanks mkuu maana hili chama sitaki hata kulisikiaaa masikioni.
 
mkuu wenzio wananunua hayo mapenzi halafu we unayapata for free kabisa halafu unalalamika, kwani utam wa papuchi si uleule au hii ya kwenye ndoto sio tam

Akili yangu yote nahisi kama wachawi wameaza kupigisha kazi nyezo yangu bila mimi kujua

maana ndoto ninazoota hzi kama kitu live chenye picha halisi
 
Akili yangu yote nahisi kama wachawi wameaza kupigisha kazi nyezo yangu bila mimi kujua

maana ndoto ninazoota hzi kama kitu live chenye picha halisi
Mkuu kupiga nyeto kunaushetani ndani yake aisee jitahidi ucrudie tena,pia fanya mazoezi ya mwili kama kukimbia na kadhalika lengo kuimarisha misuli yako

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Back
Top Bottom