Baada ya kuacha punyeto hatimaye nimepona

Baada ya kuacha punyeto hatimaye nimepona

come in HQ, 2 survivors, one's bitten and he's bleeding bad, we need evac

HQ: negative, orders are to terminate ANYONE bitten, no exceptions
Wewe tunakufahama.
Na ujiandae kiama kikifika.
Screenshot_20230815-163401_Quora.jpg
 
Baada ya kufanya masturbation kwa miaka zaidi ya sita mfulilizo, ikanifanya nipoteze uwezo wangu wa kiume.
Mwaka juzi ni kafunga ndoa, lakini bahati mbaya Kila napo shiriki tendo dakika mbili Chali. Aiseee hali hiyo ilinitesa sana japo pia nilikuwa naendelea na masturbation mana I was too addicted.

Mwezi wa tano mwaka huu nikasema sasa mimi na nyeto basi tena, Nika mwambia mke wangu Hali halisi wonderful enough mke wangu huyu Hana makuu mama wa watu.

Basi Toka mwezi wa tano nikaanza program ya jogging Kila jioni kwa dakika 30, usiku before kulala natumia garlic vipande sita, asubuh na KUNYWA chai ya tangawizi, usiku pia nafanya kegel exercise.

Wakuu Toka nimeanza hizi program natumia dakika 25+ kwa goli la kwanza, na bado na Kuwa na uwezo wa kusimama tena.

Acha punyeto inauwa maisha yako
Mimi tokea nianze mastabresheni hisia zimekufa, nachelewa mno kumaliza
 
Back
Top Bottom