Baada ya kuachana kwa miaka 4 anataka mahusiano yaendelee

Baada ya kuachana kwa miaka 4 anataka mahusiano yaendelee

Nawashukuru sana wadau kwa michango yenu. Yaani mmechangia kwa hisia, na watu wanasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU'. Huyo Kijana ni kristo na kafunga ndoa ya kikristo na ana mtoto mmoja sasa na shosti wangu pia ni mkristo. Nafikiri kwa busara shosti wangu anatakiwa kukubali matokeo na kuendelea na maisha yake. Thank U all, be blessed!

huyo mkristo gani mjinga hivyo asiyejua haya nimakosa!
huu ukristo sijui tunautoa wapi kweli SI KILA ASEMAYE BWANA BWANA ATAUONA UFALME WA MUNGU!
 
Hakuna kitu kinachowaunganisha Boy friend na Girl friend, kwa hiyo huwa hawaachani, wanapoteana tu kwa muda halafu baadaye wanakutana na ngono kama kawa, mahawala kamwe hawaachani. Mwambie rafiki yako kama bado anampenda mshikaji ampelekee tu ile kitu iliyopo katikati ya mapaja yake.
 
huyu bwana itakua mkewe ana mimba so kashindwa kuvumilia akakumbuka kipolo alichokiacha so cku mkewe akijifungua atapigwa chini tena....
 
Back
Top Bottom