kelvito
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 386
- 100
Nawashukuru sana wadau kwa michango yenu. Yaani mmechangia kwa hisia, na watu wanasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU'. Huyo Kijana ni kristo na kafunga ndoa ya kikristo na ana mtoto mmoja sasa na shosti wangu pia ni mkristo. Nafikiri kwa busara shosti wangu anatakiwa kukubali matokeo na kuendelea na maisha yake. Thank U all, be blessed!
huyo mkristo gani mjinga hivyo asiyejua haya nimakosa!
huu ukristo sijui tunautoa wapi kweli SI KILA ASEMAYE BWANA BWANA ATAUONA UFALME WA MUNGU!