The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
tena siku hizi wao ndio wanatakaHata ukitaka 0713 unapata.
If you can get free milk,why should you keep a cow?
Hata ukitaka 0713 unapata.
Nilikuwa nataka ku proove kitu flani,sasa hivi tayari nimeconclude,siwez tena na biashara hiyo sina mpango nayo tena.wewe si ulikuja hapa unatafuta mchumba? leo hii unasema huna mpango wa kuoa? ndo maana nasemaga hapa JF watu mnaotafuta wachumba hampo serious
Wewe lile tumbo unalionaje vimejaa dhuluma tupu za hao watotoKumbe Fella ni mnyonyaji. Afadhali basi dogo afaidi matunda yake
kwahiyo ushapata mchumba ama? ni kitu gani ulitaka kuprove. Mimi natafuta mchumba lakini humu JF siddani kama kuna mwanaume yupo serious. kwahiyo ulikua unazuga?Nilikuwa nataka ku proove kitu flani,sasa hivi tayari nimeconclude,siwez tena na biashara hiyo sina mpango nayo tena.
King ana x5 ya zamaniHata Ali Kiba hana hiyo. Aslay mtafutie management na huyu mzee, umuokoe.
Mkuu,hii tuiache mkuu.kwahiyo ushapata mchumba ama? ni kitu gani ulitaka kuprove. Mimi natafuta mchumba lakini humu JF siddani kama kuna mwanaume yupo serious. kwahiyo ulikua unazuga?
Kwahiyo chambuso na fela soksi na mguuSasa una mtenganisha vipi Chambuso na Fella hahahahahaha
Fella hawezi kuitwa mnyonyaji mbele ya Aslay.......
C lugha sahihi unapomuongelea binadam mithili ya taka.Fella ndo aliyemuokota.
X5 leo imekua X6Ali kiba anayo X6 sema tuu hapendii show off
Anayo X5 tolea ya mwanzo yani gari zee ukikutana nae huwezi amini kua ndio pasua kichwa wetuhana hela ya mafuta acha uongo!!
Think!!! babayako alioa hakuoa?? umekuzwa na baba/mama ama mmoja?? ama una mpango wa kuwa padri.. or may be bado ni teenager thats why huoni umuhimu.....kabisa yani.Safi sana Jomba.Kuoa ni upuuzi flani hivi..mimi si support kabisa
khaaa ...bro..wewe ni wewe na dingi ni dingi..wewe una maamuzi yako tofauti kabisa na maamuzi ya dingi yako.kama yeye alioa ni yeye aliona inafaa hivyo.mimi sioni umuhimu wowote.As said before,chochote ninachotaka naweza kukipata nje ya ndoa..why should i get married?Think!!! babayako alioa hakuoa?? umekuzwa na baba/mama ama mmoja?? ama una mpango wa kuwa padri.. or may be bado ni teenager thats why huoni umuhimu.....
Bila fela hata hao aliokuanao wasingemuona, tujifunze kua na shukran na kukumbuka fadhila. Hakuna maendeleo atakayopata ASLAY fela hasihusike.Kumuokota sio tiketi ya kumnyonya.
Nilikuwa nataka ku proove kitu flani,sasa hivi tayari nimeconclude,siwez tena na biashara hiyo sina mpango nayo tena.
Aisee,nimeshindwa kukuelewa ila nimefuatilia post na comments zako nimepata kitu.Sasa ni wapi nimesa nimepata mtu? Ni wapi nimesema nampotezea mtu muda? Umenihukumu kwamba nampotezea muda,ni nani huyo? Wewe ni ke au me? Hapa naona unachofanya ni innuendo na slander.Kama hutajali,najua una contacts zangu,kama unahisi unaweza kunishauri chochote chenye mashiko fanya hivyo privately,vinginevyo unashambulia personality yangu.kwahiyo mtoto wa watu umemdanganya na kumpotezea muda wake? Basi ni vema ungeweka mambo wazi angeweza kujipaga kivingine maana huwezi jua fursa ngapi ulizompotezea. Wapo tuliokuwa tunamhitaji kwa malengo mazuri ya kujenga familia na ndoa hapo badae lakini kama umemchukua kwa ajili ya sababu flaniflani ili uweze kuneemeka kwa mgongo wake sio FAIR nadhani ni dhambi......Haya mahusiano wengine tupo serious, ila watu kama nyie mnatukatisha tamaa. Na mbaya zaidi hao wanawake mnaowachezea ni wazuri mno tu yani wife materials ila mnawachukulia poa mkishawaweka kibindoni na siku mkiwapoteza mnakuja kulilia hapa JF.
Acha kumdanganya mtoto wa watu, kama huna dhamira serious ni vema ukaweka wazi. Watu tunatafuta wanawake wenye vision na akili kama wewe hukioni hicho kwa uliyenaye maana unaonyesha una gubu la level ya PhD. Maandishi yako tu yanaonyesha wewe ni mtu usiyeridhika ndio maana mkeo hakutaka kurudi na bado ukatafuta mke mwingine ambaye inaonyesha umeshampata lakini bado hujaridhika kwasababu ya gubu lako.......
nakuhakikishia hata kama umempata demu wa aina gani ipo siku atakuchoka sio kwa gubu hilo na uandishi wako wa kejeli ......BADILIKA KAKA, DUNIA HAIPO KWA AJILI YA TAMAA ZAKO TU.....
Umeiona tittle deed ndivyo ilivyo andikwa?Nyumba zenye we mbona hayo imeamdikwa jina la Fella?