Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

wewe si ulikuja hapa unatafuta mchumba? leo hii unasema huna mpango wa kuoa? ndo maana nasemaga hapa JF watu mnaotafuta wachumba hampo serious
Nilikuwa nataka ku proove kitu flani,sasa hivi tayari nimeconclude,siwez tena na biashara hiyo sina mpango nayo tena.
 
Kwenye haya mambo hatua kwa hatua. Hamna haja ya kugombana na matusi. Fella amefanya yake sasa Aslay aangalie mbele na amshukuru huyo alipo mfikisha. Kuna leo na kesho.
 
Watanzania sisi tunadanganywa sana.ndio maana ata tunashindwa kupigania maslah muhim ya nchi kwasababu ya ushabiki.yani MTU ana comment eti fella kawajengea nyumba.kama vile anawasaidia bure.uyo jamaa ni mnyonyaji tuu.kwani ata utajiri wake.asilimia kubwa kawapiga wasanii.
 
kabisa yani.Safi sana Jomba.Kuoa ni upuuzi flani hivi..mimi si support kabisa
Think!!! babayako alioa hakuoa?? umekuzwa na baba/mama ama mmoja?? ama una mpango wa kuwa padri.. or may be bado ni teenager thats why huoni umuhimu.....
 
khaaa ...bro..wewe ni wewe na dingi ni dingi..wewe una maamuzi yako tofauti kabisa na maamuzi ya dingi yako.kama yeye alioa ni yeye aliona inafaa hivyo.mimi sioni umuhimu wowote.As said before,chochote ninachotaka naweza kukipata nje ya ndoa..why should i get married?
 
Nilikuwa nataka ku proove kitu flani,sasa hivi tayari nimeconclude,siwez tena na biashara hiyo sina mpango nayo tena.

kwahiyo mtoto wa watu umemdanganya na kumpotezea muda wake? Basi ni vema ungeweka mambo wazi angeweza kujipaga kivingine maana huwezi jua fursa ngapi ulizompotezea. Wapo tuliokuwa tunamhitaji kwa malengo mazuri ya kujenga familia na ndoa hapo badae lakini kama umemchukua kwa ajili ya sababu flaniflani ili uweze kuneemeka kwa mgongo wake sio FAIR nadhani ni dhambi......Haya mahusiano wengine tupo serious, ila watu kama nyie mnatukatisha tamaa. Na mbaya zaidi hao wanawake mnaowachezea ni wazuri mno tu yani wife materials ila mnawachukulia poa mkishawaweka kibindoni na siku mkiwapoteza mnakuja kulilia hapa JF.

Acha kumdanganya mtoto wa watu, kama huna dhamira serious ni vema ukaweka wazi. Watu tunatafuta wanawake wenye vision na akili kama wewe hukioni hicho kwa uliyenaye maana unaonyesha una gubu la level ya PhD. Maandishi yako tu yanaonyesha wewe ni mtu usiyeridhika ndio maana mkeo hakutaka kurudi na bado ukatafuta mke mwingine ambaye inaonyesha umeshampata lakini bado hujaridhika kwasababu ya gubu lako.......

nakuhakikishia hata kama umempata demu wa aina gani ipo siku atakuchoka sio kwa gubu hilo na uandishi wako wa kejeli ......BADILIKA KAKA, DUNIA HAIPO KWA AJILI YA TAMAA ZAKO TU.....
 
Aisee,nimeshindwa kukuelewa ila nimefuatilia post na comments zako nimepata kitu.Sasa ni wapi nimesa nimepata mtu? Ni wapi nimesema nampotezea mtu muda? Umenihukumu kwamba nampotezea muda,ni nani huyo? Wewe ni ke au me? Hapa naona unachofanya ni innuendo na slander.Kama hutajali,najua una contacts zangu,kama unahisi unaweza kunishauri chochote chenye mashiko fanya hivyo privately,vinginevyo unashambulia personality yangu.
 
Back
Top Bottom