Anawajengea nyumbani na hati anazo mwenyewe...mkuu huyo kawajengea au kawapangisha
nyumba amewapa.. sema sehemu zilipo vijana hawataki kukaa.. wamezipangisha kila mtu yake na kwenda kupanga maeneo ya bata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawajengea nyumbani na hati anazo mwenyewe...mkuu huyo kawajengea au kawapangisha
Sidhani, na kama ni hivyo unadhani kwanini Aslay mwezi uliopita walizinguana na yule Manager ambaye yupo nje, na wakavunja mkataba??? Kama toka ametoka kwa fella na akapewa manager,je huyo wa nje aliingiajeWewe unafatilia na kuyajua mambo. Siyo hao wengine manyumbu hawajielewi. Hivi utamtenganishaje Fella na Chambuso. Chambuso ndiyo menega wa Aslay. Fella ndiyo aliyempa Chambuso jukumu la kumsimamia Aslay. Fella ndiyo aliyempa Aslay jukumu la kuwasimamia madada 6. Sasa utamtengaje Fella na Aslay. Think twice.
Ooohh BMWMsanii huyo ameandika haya...
"Alhamdulillah Asantee Mungu kwa hiki ulichonipa naishukuru management yangu Chambusso na Mxcarter, nakupenda Mama yangu kokote ulipo kila hatua dua 'new car' Umma unaongea"
![]()
Fela aliwajengea nyumba na akawakabidhi. Sasa kati ya aliyewajengea nyumba na aliyemnunulia gari ni nani mwenye msaada? Kati ya nyumba na gari ipi ni asset na ipi ni liability?
Kwani mkuu aslay kasema amenyonywa na Fella.Umekuja na ndala umeondoka na gari,aliyelala sebuleni kwangu Leo anasema anadhulumiwa 2008 eheee 2009.
si chini ya million 30 kamandaShi ngapi hiyo mkuu?
![]()
Fela aliwajengea nyumba na akawakabidhi. Sasa kati ya aliyewajengea nyumba na aliyemnunulia gari ni nani mwenye msaada? Kati ya nyumba na gari ipi ni asset na ipi ni liability?
Yeah wit x3 iko poaNdinga kali
Alikiba nadhani ana bmw x5Hata Ali Kiba hana hiyo. Aslay mtafutie management na huyu mzee, umuokoe.
kuoa sio jambo la msingi sana..Unaoa ili upate nini? wakati vitu vyote unaweza pata bila huko kuoaHONGERA ASLAY. UOE SASA UPUNGUZE CHUPI vingnevyo UTAKUWA MTU WA KULAUMU LATER