Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

Wewe unafatilia na kuyajua mambo. Siyo hao wengine manyumbu hawajielewi. Hivi utamtenganishaje Fella na Chambuso. Chambuso ndiyo menega wa Aslay. Fella ndiyo aliyempa Chambuso jukumu la kumsimamia Aslay. Fella ndiyo aliyempa Aslay jukumu la kuwasimamia madada 6. Sasa utamtengaje Fella na Aslay. Think twice.
Sidhani, na kama ni hivyo unadhani kwanini Aslay mwezi uliopita walizinguana na yule Manager ambaye yupo nje, na wakavunja mkataba??? Kama toka ametoka kwa fella na akapewa manager,je huyo wa nje aliingiaje
 
Ukitaka kujua msanii kafanikiwa aache kupiga shoo za ndondo cup A.K.A fiesta
 
Sasa una mtenganisha vipi Chambuso na Fella hahahahahaha
Fella hawezi kuitwa mnyonyaji mbele ya Aslay.......
 
Umekuja na ndala umeondoka na gari,aliyelala sebuleni kwangu Leo anasema anadhulumiwa 2008 eheee 2009.
 
maxresdefault.jpg

Fela aliwajengea nyumba na akawakabidhi. Sasa kati ya aliyewajengea nyumba na aliyemnunulia gari ni nani mwenye msaada? Kati ya nyumba na gari ipi ni asset na ipi ni liability?

Nyumba na gari vyote Ni liabilities tu.
Labda useme ipi ndio liability yenye nafuu.
 
maxresdefault.jpg

Fela aliwajengea nyumba na akawakabidhi. Sasa kati ya aliyewajengea nyumba na aliyemnunulia gari ni nani mwenye msaada? Kati ya nyumba na gari ipi ni asset na ipi ni liability?

Gari na nyumba vyote ni asset hamna liability hata moja hapo
 
HONGERA ASLAY. UOE SASA UPUNGUZE CHUPI vingnevyo UTAKUWA MTU WA KULAUMU LATER
 
Back
Top Bottom