Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Hahahahaha, in Kenya there is no such a thing called fair competition, everything is influenced by corruption, tribalism and political affiliation. Failed state.Idiot as usual. There is an appointment process. If Mulinge was shortlisted/interviewed and scored the highest mark, then why not.
But just because she came out on top in small Vodacom recruitment process, does not mean she will come out on top on MIGHTY Safaricom process.
Wewe ndiye unayehisi hivyo, ila Tanzania ilifuata sheria na taratibu zake kama nchi ilivyojiwekea, kama huyu Dada alihisi hakutendewa haki, mahakama ya EAC ipo pale Arusha, angekwenda kushitaki, wewe unayesema kulitokea uonevu unatumia kigezo gani zaidi ya kusikiliza Maneno ya wakenya ambao wanajulikana kwa kulialia hovyo kama watoto wadogo?Mleta mada ni kama unathibitisha kuwa kulitokea uonevu!
Jukumu la kusawazisha kosa hilo lipo mikononi mwa watanzania walioonea.
RIP colly.
Hakuna uonevu hapa, Mtu aliyesomea Foodscience anawezaje ongoza Vodacom? Tena kuzidi kabisa ni mlevi kuliko yule Jamaa wenu wa LikwidiMleta mada ni kama unathibitisha kuwa kulitokea uonevu!
Jukumu la kusawazisha kosa hilo lipo mikononi mwa watanzania walioonea.
RIP colly.
Soma mwanzo wa posti yangu.Wewe ndiye unayehisi hivyo, ila Tanzania ilifuata sheria na taratibu zake kama nchi ilivyojiwekea, kama huyu Dada alihisi hakutendewa haki, mahakama ya EAC ipo pale Arusha, angekwenda kushitaki, wewe unayesema kulitokea uonevu unatumia kigezo gani zaidi ya kusikiliza Maneno ya wakenya ambao wanajulikana kwa kulialia hovyo kama watoto wadogo?
kumbe yule dada alikuwa kasomea vyakula
Hahahahaha, in Kenya there is no such a thing called fair competition, everything is influenced by corruption, tribalism and political affiliation. Failed state.
Hahahaha, Tanzania is a principled country. while Kenya is a profit oriented country, you are ready to go against your own laws and principles, even killing your own people for money and materials gain.Wajinga ndio waliwao.
Bob Collymore hata hakuingia Chuo Kikuu.
Na amewezesha Safaricom kupata faida kubwa kuliko Kampuni zote za DSE combined.
Hakuna uonevu hapa, Mtu aliyesomea Foodscience anawezaje ongoza Vodacom? Tena kuzidi kabisa ni mlevi kuliko yule Jamaa wenu wa Likwidi
And unemployment, hunger, police killings, insecurity, debts. Fake currency, fake gold, and fake leadership, you lead Africa. Even Burundi can feed itself.Safaricom profit is greater than all DSE companies combined.
Quite an achievement for a failed state.
Enda mjipime na Burundi. We're not your equal.
Hahahaha, Tanzania is a principled country. while Kenya is a profit oriented country, you are ready to go against your own laws and principles, even killing your own people for money and materials gain.
And unemployment, hunger, police killings, insecurity, debts. Fake currency, fake gold, and fake leadership, you lead Africa. Even Burundi can feed itself.