Tetesi: Baada ya kuaga dunia kwa Bob Collymore, Kama wakenya sio wanafiki wamfanye Dada aliyekataliwa Vodacom Tz kuwa bosi mpya wa Safaricom

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Nakumbuka tukipigiwa makelele hapa eti Dada Silvya mulinge ni akili kubwa na anafaa kuongoza Vodacom Tz.
Bahati nzuri TISS ya tanzania ikamchunguza kwa makini na kubaini kwamba ni Mlevi, Muuaji wa watoto na taaluma yake ni ya foodscience (Taaluma ya kuhakikisha watu wanakula balanced diet😁😁)
Sasa kama mnaona hii ni akili kubwa, wacha basi achukue kazi ya bob
👇👇👇👇
 
Idiot as usual. There is an appointment process. If Mulinge was shortlisted/interviewed and scored the highest mark, then why not.

But just because she came out on top in small Vodacom recruitment process, does not mean she will come out on top on MIGHTY Safaricom process.
 
Hahahahaha, in Kenya there is no such a thing called fair competition, everything is influenced by corruption, tribalism and political affiliation. Failed state.
 
Mleta mada ni kama unathibitisha kuwa kulitokea uonevu!
Jukumu la kusawazisha kosa hilo lipo mikononi mwa watanzania walioonea.
RIP colly.
 
Wewe ndiye unayehisi hivyo, ila Tanzania ilifuata sheria na taratibu zake kama nchi ilivyojiwekea, kama huyu Dada alihisi hakutendewa haki, mahakama ya EAC ipo pale Arusha, angekwenda kushitaki, wewe unayesema kulitokea uonevu unatumia kigezo gani zaidi ya kusikiliza Maneno ya wakenya ambao wanajulikana kwa kulialia hovyo kama watoto wadogo?
 
Soma mwanzo wa posti yangu.
 
Hahahahaha, in Kenya there is no such a thing called fair competition, everything is influenced by corruption, tribalism and political affiliation. Failed state.

Safaricom profit is greater than all DSE companies combined.
Quite an achievement for a failed state.
Enda mjipime na Burundi. We're not your equal.
 
Wajinga ndio waliwao.
Bob Collymore hata hakuingia Chuo Kikuu.
Na amewezesha Safaricom kupata faida kubwa kuliko Kampuni zote za DSE combined.
Hahahaha, Tanzania is a principled country. while Kenya is a profit oriented country, you are ready to go against your own laws and principles, even killing your own people for money and materials gain.
 
Safaricom profit is greater than all DSE companies combined.
Quite an achievement for a failed state.
Enda mjipime na Burundi. We're not your equal.
And unemployment, hunger, police killings, insecurity, debts. Fake currency, fake gold, and fake leadership, you lead Africa. Even Burundi can feed itself.
 
Hahahaha, Tanzania is a principled country. while Kenya is a profit oriented country, you are ready to go against your own laws and principles, even killing your own people for money and materials gain.

You're just a foolish country.
Man eat nothing society.
Principled when your supremo is killing opposition members like cockroaches?
 
And unemployment, hunger, police killings, insecurity, debts. Fake currency, fake gold, and fake leadership, you lead Africa. Even Burundi can feed itself.

All statistics you make up from your bedsitter.
Tafutana na Burundi tafadhali. You have a lot in common.
 
Huyo Mama hawezi kuteuliwa kua CEO wa Safaricom never.
 
Back
Top Bottom