komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Bwahahaaa..we kumbe hta hujui kitu bro...unabwata tu..njoo pm nikuelimisheRogo na Makaburi walikua wanaisema sana serikali ya Kenya kwa jinsi ilivyokua inawauwa waislamu wa Mombasa na pwani kwasababu ya MRC movement, na kisingizio cha vita dhidi ya terrorism