Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea.
Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf champions league.
Waneweka kiingilio bure kwa lengo la kuonyesha kuwa, na wao wanaweza kuujaza uwanja lakini nakuambia licha ya kuweka kiingilio bure uwanja hauta jaa na kufungwa mtafungwa.