Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Huo ndio ukweliUnaaibisha familia futa hii
Kuifanya Tz kuingiza timu nne kwenye mashindano ya CAF tayari ni mafanikio . Mkuu hata hilo huoni?Mambo mengine aibu sana kuyaandika. Hivi sijui mnatumiaga nini kuwaza kabla ya kuandika? Sasa simba ina mafanikio gani huko CAF mkuu?
watolee wap wao na gundu damu moyaTimu ina Miaka 88 haijawahi kushinda mechi ya Makundi ya Klabu Bingwa. Utopolo hamnazo kabisa. Ngoja tuone kama wataondoa gundu.
Sisi ni MBUMBUMBU [emoji16] tusamehe Tu mkuu kwani huoni hua tunafikaga robo fainaleMambo mengine aibu sana kuyaandika. Hivi sijui mnatumiaga nini kuwaza kabla ya kuandika? Sasa simba ina mafanikio gani huko CAF mkuu?
Timu ina Miaka 88 haijawahi kushinda mechi ya Makundi ya Klabu Bingwa. Utopolo hamnazo kabisa. Ngoja tuone kama wataondoa gundu.
Hujui ukiongeacho wewe, takwimu za bodi ya ligi Kwa kila msimu inaonesha mechi za Yanga ni mechi zenye washabiki wengi kuliko timu yoyote. Hakuna msimu Simba kaizidi Yanga. Na mwaka huu ndiyo kabisa tutawazidi zaidi ya nusu jinsi mlivyoisusa timu yenu.Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea.
Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf champions league.
Waneweka kiingilio bure kwa lengo la kuonyesha kuwa, na wao wanaweza kuujaza uwanja lakini nakuambia licha ya kuweka kiingilio bure uwanja hauta jaa na kufungwa mtafungwa.
yanga inatamani kuwa kama simba kwa kipi???Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea.
Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf champions league.
Waneweka kiingilio bure kwa lengo la kuonyesha kuwa, na wao wanaweza kuujaza uwanja lakini nakuambia licha ya kuweka kiingilio bure uwanja hauta jaa na kufungwa mtafungwa.
Ana familia inajivunia kuwa na Baba.Mambo mengine aibu sana kuyaandika. Hivi sijui mnatumiaga nini kuwaza kabla ya kuandika? Sasa simba ina mafanikio gani huko CAF mkuu?
Umeshamaliza kuongea, au bado unaendelea? Ongea maneno yote, ili nafsi yako itulie.Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea.
Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf champions league.
Waneweka kiingilio bure kwa lengo la kuonyesha kuwa, na wao wanaweza kuujaza uwanja lakini nakuambia licha ya kuweka kiingilio bure uwanja hauta jaa na kufungwa mtafungwa.
Tena mara ya kwanza Simba inafanikisha kuzipeleka timu 4 kimataifa kwa kukusanya point za kutosha tu, tuliibeba Yanga kimataifa!!!!Kuifanya Tz kuingiza timu nne kwenye mashindano ya CAF tayari ni mafanikio . Mkuu hata hilo huoni?
Wacha umbea !Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea.