Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni
Nadhani Uzi wangu waliusoma na kuweka taarifa za nafasi hizo, sasa angalia mishahara ilivyo minono, unalipwa wewe hadi mkeo.
Kuomba kazi hii ingia TCRA.... Au bofya TCRA | Ajira
Nadhani Uzi wangu waliusoma na kuweka taarifa za nafasi hizo, sasa angalia mishahara ilivyo minono, unalipwa wewe hadi mkeo.
Kuomba kazi hii ingia TCRA.... Au bofya TCRA | Ajira