Baada ya kuandika kuhusu PAPU taarifa zimeongezwa angalia mishahara yake

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Why wafiche kwenye huu utamu Sasa ama inakuwaje. Mfano sijawahi ona nafasi za kazi kwenye balozi zetu za nje zikitangazwa hapa watoto wa wakulima nao wapate kula mema ya Kodi za wazazi wao. Ama ndio tunaambiwa kuwa amani ili wasibughudhiwe kula asali ambayo wajinga wachache ndio wanaoumwa na nyuki inapatikana Ila hawawezi kuila Ila wanakula wajanja wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…