King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
very useful information. asante, nitakuja huko na kutembelea project yako. umenifurahisha kwa kukubali kuanzia chini. wengi wetu tunashindwa biashara kwa sababu tuanataka kuanzia alipo bakhresa!
lipo Kwa makunganya. Ukiwa unaenda Dodoma ni kijiji kinachofata baada ya pale mizani. Kituo Cha kushukia kinaitwa stop. Pale utachukua pikipiki kueelekea sehemu inayoi majichumvu. Ni jirani sana na kiwanda Cha nyama.