Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

very useful information. asante, nitakuja huko na kutembelea project yako. umenifurahisha kwa kukubali kuanzia chini. wengi wetu tunashindwa biashara kwa sababu tuanataka kuanzia alipo bakhresa!
lipo Kwa makunganya. Ukiwa unaenda Dodoma ni kijiji kinachofata baada ya pale mizani. Kituo Cha kushukia kinaitwa stop. Pale utachukua pikipiki kueelekea sehemu inayoi majichumvu. Ni jirani sana na kiwanda Cha nyama.
 
hABARI NJEMA KAMA NENO LA BWANA NIPO JIRANI NA KAHANA NA KAHEKA KAMOJA LAZIMA NIFANYE HII MAMBO
 
Naona mabanda yako na uwazi kati ya mbao na mbao.Je hakuna wanyama waharibifu? kwa kuku.
Hakuna wanyama waharibifu.kuna makazi ya watu jiran na ukienda mbele sana unatoboza Morogoro mjini. Kimsingi pande zote zipo safi kiasi Cha wanyama wakali kutoweza kukaa sehemu hii. Ni visungura na nyasi kidogo tu.
 
mkuu hongera sana na kaza mwenda utafanikiwa tu, pia usihofu maana changamoto kwenye ujasiriamali hazikosi kuwepo

 
mkuu hongera sana na kaza mwenda utafanikiwa tu, pia usihofu maana changamoto kwenye ujasiriamali hazikosi kuwepo
Hakika mkuu! Changamoto ni nyingi sana. Katika ujasiriamali tunajifunza zaidi Kwa makosa kuliko mafanikio. Nakumbuka siku ile niliyonunua mbuzi dume aliyehasiwa bila kujua kutokana na kutokuwa na uzoefu wa ufugaji wa wanyama.
 
mkuu hongera sana na kaza mwenda utafanikiwa tu, pia usihofu maana changamoto kwenye ujasiriamali hazikosi kuwepo
Hakika mkuu! Changamoto ni nyingi sana. Katika ujasiriamali tunajifunza zaidi Kwa makosa kuliko mafanikio. Nakumbuka siku ile niliyonunua mbuzi dume aliyehasiwa bila kujua kutokana na kutokuwa na useful Katika kufuga wanyama..
 
mwanzo mzuri sana kaka, naamini huu mradi utakupeleka mbele sana kimaendeleo kuliko hizi ajira za mkoloni.
 
Hongera sana sana na Mungu akutie nguvu maana ukiishavaa kitanzi cha ajira kujivua kazi sana. Pia kuanza na miti ya muda mrefu ni investment nzuri ya kukusaidia baadae. Hongera sana ni mfano wa kuigwa
 

mkuu nimesikia mda mref kuhusiana na miti ya mitiki, naomba unieleweshe hiyo miti inakubali katika hali gani ya hewa pia miche au mbegu zake zinapatikanaje na kwa ghalama gani na soko la mbao au magogo yake liko je?. Mi nipo kasulu kigoma
 
mkuu nimesikia mda mref kuhusiana na miti ya mitiki, naomba unieleweshe hiyo miti inakubali katika hali gani ya hewa pia miche au mbegu zake zinapatikanaje na kwa ghalama gani na soko la mbao au magogo yake liko je?. Mi nipo kasulu kigoma
Mkuu kuhusu hali ya hewa ambayo mitiki inakubali hilo siwezi nikakupa jibu sahihi sana. Ila nifaamuvyo mimi ni kuwa mitiki inakubali sana sehemu za baridi. Hata sehemu za joto Kama Morogoro inakubali pia. Dar na pwani mitiki inaweza kukubari vizuri sana.Ukame ule Kama wa singida, Dodoma na shinyanga siyo mzuri Kwa maendeleo ya mitiki kwani itakufa Kwa kukosa maji. Haipendi sana sehemu yenye unyevu wa kupitiliza. Hapa morogoro Miti ya mitiki hulimwa sana mahenge , kilombero mvomero- hasa turiani na Iringa wameanza kulima Kwa kasi.

Soko la mitiki like wazi kabisa. Heka moja unaweza kutengeneza hadi 120 millions Tsh. Pia ukiwa na heka mbili za mitiki zenye umri wa miaka miwili unaweza ukaenda bank na kuvuta mkopo hadi sh 50 milioni. Ni akiba nzuri uzeeni( pension yako). Mimi ,nimejipangia kila mwaka kupanda si chini ya hekari tano za mitiki.

Naomba wanaofahamu zaidi mazingira na faida ya mitiki wanisaidie Katika kumwelimisha huyu ndugu.

Mimi naweza nikakuuzia miche ya mitiki Kwa sh 300 Kwa mche.
 

Attachments

  • image.jpg
    86.5 KB · Views: 501
  • image.jpg
    79.2 KB · Views: 474
Hongera sana sana na Mungu akutie nguvu maana ukiishavaa kitanzi cha ajira kujivua kazi sana. Pia kuanza na miti ya muda mrefu ni investment nzuri ya kukusaidia baadae. Hongera sana ni mfano wa kuigwa

Asante mama Joe. Maombi yako Kwa Mora ni muhimu pia.
 
Jamani watu wengi wamenipm Kwa ushauri na maeneo Morogoro. Kwa leo na kesho ninapatikana hapa dar maeneo ya mabibo hostel(kituo). Mahal I : lunch time hotel. Tunaweza tukashauriana mambo mengi. Nawatakia jioni njema..
 
Great move kaka!!hongera sana wanasema ujasirimali ni kama dini ukishaamini basi utafanikiwa haijalishii mara ngapi utaanguka.Na kwa nchi yetu tukiweza kupata watu wenye ujasiri kama huu hakika tutakuwambali.Jamii inaleta tafsiri mbaya kwamtu kuwa msomi ni kuwa hatakiwi kufanya shughuli za uzalishajikama hizo anatakiwa kuwa kwenye ofisi ya mtu.Nadhani wachina ni mfano mzuri wa kuigwa wana mitaji mikubwa lakini unakuta wanasukuma mikokoteni ya mizigo yao kkoo.Lakini kitanzania ukishapata diploma tu weweni kutoa maelekezo na kusubiri mwisho wa mwezi.Hongera sana.
 

Hongera mkuu kwa kulianzisha! Maneno yako hapo juu yananiuma sana jinsi tuliokwenye ajira tunavyoona manyanyaso! Mshahara wa kupimiwa hata ujitumeje? Baadhi ya kazi nyingi hakuna uhusiano kati ya kipato na kuchapa kazi! Hizi ajira zetu nyingine unakuta mvivu anatesa wachapakazi wanaadhirika! Kubebana, na ubaguzi wa kila aina, ukipishana kauli na boss kazini jua imekula kwako! Wanaonufaika ni wale wanaojua kujipendekeza na kupeleka majungu kwa wakubwa. Wakati mwingine ukiwa mchapakazi unajengewa chuki wakidai unakihelehele! Ukileta kutaka kutumia utaalamu sana baadhi ya maeneo ya kazi unaonekana unaleta usomi unabigwa benchi. Eneo pekee ambako mtu unafursa kutumia vipawa vyako, utaalamu wako na yote ulivyojaaliwa na Mola kwa manufaa yako ni kwenye ajira binafsi! Uwoga wa baadhi yetu ndiyo kaburi letu, nimejiwekea kipindi cha mpito miaka 3 nikamilishe nyenzo za kuanzia maana jamani mikakati ni muhimu pia! Hata Robert Kiyosaki alijiandaa kabla hajatimua! Naamini hata Chasha alijiandaa pia. Mkuu Chasha nasema nitachoma MELI! Liwalo na liwe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…