Tetesi: Baada ya kuangukia Pua kwenye ubunge, Kafulila Mbioni kutimikia CHADEMA

Kweli Mama Bupe wewe kiboko, nakuaminia sana kwa uwezo wako wa umbea hapa JF, hongera sana Mama Bupe kwani kiwango chako cha kutengeneza umbea ni cha kipekee!
 
E="Kajolijo, post: 18043168, member: 367763"]Huko ndio anaelekea kubaya kabisa kisiasa sasa anapotea...[/QUOTE]
Nadhani wewe ndiyo umepotea mazima...
 
Lizaboni uwe una tulia kwanza. Kesi haijaisha, Mawakili wa Serikali na Wale watetezi wa ESCROW walipinga ili itupiliwe mbali ila Jaji na Mawakili wa Kafulila wameshauri mahakama imuruhusu Kafulila a file NOTICE upya make kuna hoja ya kupokea form hali toka NEC za matokeo halali kutoka NEC sasa sijui huwa una andika kwa mihemko au vp?
 
Chadema wana laana ya kubadili gia angani na kuwasaliti wana mabadiliko ya kweli kwa kuuza chama kwa Mafisadi.

Kafulila usiende huko akili zitadumaa kama za bavicha
 
Kweli Mama Bupe wewe kiboko, nakuaminia sana kwa uwezo wako wa umbea hapa JF, hongera sana Mama Bupe kwani kiwango chako cha kutengeneza umbea ni cha kipekee!

Wamezoea kwani chama cha kimepevuka kwa umbea na unafiki
 
Baba yenu anahangaika kujenga viwanda badala mumsaidie mpoa hapa kupiga uwongo.
 

Nilifikiria anahamia CCM kumbe yuko UPINZANI bado.Nenda basi umsikilize na Al-Ali Hassan Mwinyi leo
 
huyu alinyooshwa na magufuli alipokuwa analeta ma thread ya kuwaponda wakina kinana na timu yake ajabu magufuli aliirudisha yote kama ilivyo na povu lake lote lile
 
uongo wa wewe mwanamke! unaelekea kubaya sasa
 
Kwa faida take. Azungumze Na Zitto ACT atapenya kiraisi saba kigoma. Watu wa huko wanapenda ufuasi wa Zitto. Kafulila apendi MTU mwenge tuhuma tuhuma. Na hili aweze kufuatulia IPTL kaa mbali Na mwenye hisa. Anamjua.
 
Lizaboni. Kafulila ameshakuwa oili chafu. Chadema haina biashara ya kulipa mishahara wabunge au wanasiasa wowote. Njoo chadema lakini uje na pesa zako. usitegemee chadema itakupa pesa yoyote. Hata wakati wa kampeni mwaka jana tumeshuhudia kila mgombea akijitahidi kutumia pesa yake. Hatujui ni kwa nini iko hivi kwa sababu chama kinapata ruzuku, michango ya wadhamini, washabiki kupitia mitandao na njia mbalimbali. Kimsingi hatujui hata mapesa yote ya ruzuku na michango yanatumikaje. Ukihoji unafukuzwa kwa kuundiwa zengwe. Kama kina Zito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…