Tetesi: Baada ya kuangukia Pua kwenye ubunge, Kafulila Mbioni kutimikia CHADEMA

Tetesi: Baada ya kuangukia Pua kwenye ubunge, Kafulila Mbioni kutimikia CHADEMA

Nashauri Mh Mbatia avunje chama chake na ahamie ACT wazalendo. Seriously chama cha nccr hakina sera na wala hakiwez kujitofautisha na chadema. Hakina .mwelekeo ! Amebaki Mbatia pekee. Ni lazima aiwahi aibu hii kabla haijaja yenyewe automatically
 
Kuna watu walishakufa... Ila makaburi yao bado yanatamani kuishi... Mtoa post mmoja wao mumsamehe mana si yeye ila n kaburi lake
 
joke : nayetoka na baadaye kurudi ccm , anaitwa 'ng'ombe' asiye na mkia. Je. anayetoka chadema na baadaye kurudi huko huko chadema anaitwaje?
 
KAFULILA KABLA YA KUHAMIA NCCR ALIKUWA CHADEMA LAKINI KIPINDI YUPO CHADEMA ALIWAHI KUITWA MSALITI LEO HII ANARUDI CHADEMA ,

DAA SIASA HIZI JAMANI
labda angekubali kwenda ACT angeambulia jimbo moja huko Kigoma...maana anguko lake laweza kuwa lilichangiwa na Chama kubwa na binamu yake (ACT)...
 
Habari yako ingeweza kueleweka kama usingeweka hayo mambo ya malipo ya kila mwezi..hapo ndo umeharibu udaku wako..
 
Back
Top Bottom