LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Dah! Kidogo naona raha ya mapenzi sasa maana toka nianze kuishi nae mwaka wa 4 sasa ilikuwa Ni stress kila siku.
Mwezi ulioisha ulitokea ugomvi ambao ulipelekea nianze kuchepuka kwani baada ya ugomvi mm nilijikausha tu nikaapa sitamgusa wala kumpiga
Nikapata mtoto wa kitanga nikawa na uhakika wa kula kila nikihitaji
Baada ya kugundua kwamba siku hizi nakula nje aka ongeza moto na mm sikujali lolote kwani nilishaweka potelea pote hata akiondoka sawa tu
Ukapita mwezi hivi sijashiriki nae ila tunalala na kujifunika shuka moja na hata stimu za ngono sina
Siku moja usiku wa saa 7 nashangaa ananiamsha na kuniomba tuongee mm nikamjibu aniache nilale nimechoka
Akaamka na kukaa kwenye kiti na kuanza kulia Mimi nikaendelea kupiga usingizi baadae akarudi tukalala kesho Kama kawaida nawaachia matumizi nasepa zangu job
Muda wa kurudi home ilikuwaga saa tatu lakini nikabadili ikawa saa 5 kuendelea au nisirudi kabisa
Sasa siku hiyo narudi nyumbani nashangaa nimepokelewa vizuri Kama vile hatuna ugomvi muda wa kulala kila kitu poa ila akaniomba niachane na hao mademu kwani anaumia sana nikamjibu kwamba anipe muda naachana nao akakubali
Sasa wiki moja sasa kila nikirudi huangalia simu yangu halafu ananiuliza mbona bado nawasiliana nao nikamwambia asijali naachana nao tu.
Sasa nilikuwa nasahau kufuta ushahidi ndo maana akawa anajua kwa sasa kabla sijagika home nafuta ushahidi wote.
Ila tu ukweli yule mtoto wa kitanga sitamuacha kwa haraka hivo anavodhania yeye.
Yeye ndo kalianzisha nisingeweza kuvumilia na upwiru muda wote huo.
Dawa ya mwanamke ambaye haendi kwenye njia zako achana nae usimpige wala kupigizana naye makelele.