Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bwege tu mkeo kakushika akiliUmepata uyo mke ambae ni mama wa nyumbani shukuru tu.
Yaani mke wng me akute una michepuko halafu akuongeleshe uachane nayo kama ivo!??? haitokei abadan uwo mziki wake najua me 🤣🤣🤣
Wanaume oyeeeeDah! Kidogo naona raha ya mapenzi sasa maana toka nianze kuishi nae mwaka wa 4 sasa ilikuwa Ni stress kila siku.
Mwezi ulioisha ulitokea ugomvi ambao ulipelekea nianze kuchepuka kwani baada ya ugomvi mm nilijikausha tu nikaapa sitamgusa wala kumpiga
Nikapata mtoto wa kitanga nikawa na uhakika wa kula kila nikihitaji
Baada ya kugundua kwamba siku hizi nakula nje aka ongeza moto na mm sikujali lolote kwani nilishaweka potelea pote hata akiondoka sawa tu
Ukapita mwezi hivi sijashiriki nae ila tunalala na kujifunika shuka moja na hata stimu za ngono sina
Siku moja usiku wa saa 7 nashangaa ananiamsha na kuniomba tuongee mm nikamjibu aniache nilale nimechoka
Akaamka na kukaa kwenye kiti na kuanza kulia Mimi nikaendelea kupiga usingizi baadae akarudi tukalala kesho Kama kawaida nawaachia matumizi nasepa zangu job
Muda wa kurudi home ilikuwaga saa tatu lakini nikabadili ikawa saa 5 kuendelea au nisirudi kabisa
Sasa siku hiyo narudi nyumbani nashangaa nimepokelewa vizuri Kama vile hatuna ugomvi muda wa kulala kila kitu poa ila akaniomba niachane na hao mademu kwani anaumia sana nikamjibu kwamba anipe muda naachana nao akakubali
Sasa wiki moja sasa kila nikirudi huangalia simu yangu halafu ananiuliza mbona bado nawasiliana nao nikamwambia asijali naachana nao tu.
Sasa nilikuwa nasahau kufuta ushahidi ndo maana akawa anajua kwa sasa kabla sijagika home nafuta ushahidi wote.
Ila tu ukweli yule mtoto wa kitanga sitamuacha kwa haraka hivo anavodhania yeye.
Yeye ndo kalianzisha nisingeweza kuvumilia na upwiru muda wote huo.
Dawa ya mwanamke ambaye haendi kwenye njia zako achana nae usimpige wala kupigizana naye makelele.
Dah! Kidogo naona raha ya mapenzi sasa maana toka nianze kuishi nae mwaka wa 4 sasa ilikuwa Ni stress kila siku.
Mwezi ulioisha ulitokea ugomvi ambao ulipelekea nianze kuchepuka kwani baada ya ugomvi mm nilijikausha tu nikaapa sitamgusa wala kumpiga
Nikapata mtoto wa kitanga nikawa na uhakika wa kula kila nikihitaji
Baada ya kugundua kwamba siku hizi nakula nje aka ongeza moto na mm sikujali lolote kwani nilishaweka potelea pote hata akiondoka sawa tu
Ukapita mwezi hivi sijashiriki nae ila tunalala na kujifunika shuka moja na hata stimu za ngono sina
Siku moja usiku wa saa 7 nashangaa ananiamsha na kuniomba tuongee mm nikamjibu aniache nilale nimechoka
Akaamka na kukaa kwenye kiti na kuanza kulia Mimi nikaendelea kupiga usingizi baadae akarudi tukalala kesho Kama kawaida nawaachia matumizi nasepa zangu job
Muda wa kurudi home ilikuwaga saa tatu
1. Huwezi kushinda ujinga kwa ujinga.Dah! Kidogo naona raha ya mapenzi sasa maana toka nianze kuishi nae mwaka wa 4 sasa ilikuwa Ni stress kila siku.
Mwezi ulioisha ulitokea ugomvi ambao ulipelekea nianze kuchepuka kwani baada ya ugomvi mm nilijikausha tu nikaapa sitamgusa wala kumpiga
Nikapata mtoto wa kitanga nikawa na uhakika wa kula kila nikihitaji
Baada ya kugundua kwamba siku hizi nakula nje aka ongeza moto na mm sikujali lolote kwani nilishaweka potelea pote hata akiondoka sawa tu
Ukapita mwezi hivi sijashiriki nae ila tunalala na kujifunika shuka moja na hata stimu za
Dawa ya mwanamke ambaye haendi kwenye njia zako achana nae usimpige wala kupigizana naye makelele.
Ina maana andiko liwekewe mnara pale askari monument posta dar es salaam 🤣😂Bandiko bora la weekend
Bc sw kama me bwege ila ninavyojua me hakuna mwanamke mpumbavu anaeweza kuvumilia mume wake akicheat live liveWe bwege tu mkeo kakushika akili
Kuna Uzi flani humu ulifutwagwa mwanamke alikua ana mwekea mumewe sijui Nini kikawa kinamdhohofisha mumewe kidogo kidogo mpaka akapata umauti.1. Huwezi kushinda ujinga kwa ujinga.
2. Naona unachezea uhai wako, mwanamke anaweza kujifanya kuwa hajamind na akanishusha lkn very soon atalipa kisasi tena kwa kuliwa hata na wachunga ng'ombe.
3. Unachezea uhai wako unaqeza kuwekewa sumu ukiwa usingizini.
Mwanaume mwenye akili asithubutu ujinga huu bora uchepuke kimya kimya na kamwe usigundulike
Naomba nafasi kwenye ile filamu yako...uniandalie na script kabisa😂Hongera bro umetuheshimisha wanaume wenzio.....
Nenda mbele Rudi nyuma ukioa mwanamke mkurya..We bwege tu mkeo kakushika akili
Ana masikhara sana na wanawake uyo 😀Nenda mbele Rudi nyuma ukioa mwanamke mkurya..
Ukimcheat ukilala chumbani uhakika wa kuamka ukiwa hai ni 0.01
Utaamka umeshakatwa izo mbupu zako.
Ogopa Sana vita na wanawake utalishwa hata malimbwata uwe zoba maana wanakupikia.
Hiyo mbususu/ papuchi itawekewa dawa ujikute unaililia muda WOTE
NB.
Mwanamke mjinga ishi nae kwa AKILI.
Ni kuwa nao makiniAna masikhara sana na wanawake uyo 😀
Me wife ameshanambia na mapema sana ktk kucheat kwangu nijitahidi sanaa asigundue ila siku akigundua nimecheat atamtafuta yule rafiki yng wa karibu mnoo amtunuku mzigo kiurahisi sana
Tatizo mke akichepuka akagundulika! Wàñaume tunashindwa kusamehe sijui kwanini.Hatua nzuri
Kataa ndoa tunajichukulia point hapa..🤣Ila ndoa😂😂