Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kweli nimeumia mkuu, hiyo kauli kwamba akigundua nina cheat atatombbb na rafiki yako imeniuma kama nimeambiwa mimi. Kweli mke asichepuke kuepusha shari.Mbona umeumia sana 😢 cha msingi asichepuke kuepusha shari
😳 Hasira za mkizi.Ana masikhara sana na wanawake uyo 😀
Me wife ameshanambia na mapema sana ktk kucheat kwangu nijitahidi sanaa asigundue ila siku akigundua nimecheat atamtafuta yule rafiki yng wa karibu mnoo amtunuku mzigo kiurahisi sana
Dawa ya matone ya sikiini na machoniKuna Uzi flani humu ulifutwagwa mwanamke alikua ana mwekea mumewe sijui Nini kikawa kinamdhohofisha mumewe kidogo kidogo mpaka akapata umauti.
Najaribu kuwaza mkeo nae angechepuka ingekuwaje. nadhan iko siku mkeo nae atachepuka ili iwe ngma muheshimiane.Dah! Kidogo naona raha ya mapenzi sasa maana toka nianze kuishi nae mwaka wa 4 sasa ilikuwa Ni stress kila siku.
Mwezi ulioisha ulitokea ugomvi ambao ulipelekea nianze kuchepuka kwani baada ya ugomvi mm nilijikausha tu nikaapa sitamgusa wala kumpiga
Nikapata mtoto wa kitanga nikawa na uhakika wa kula kila nikihitaji
Baada ya kugundua kwamba siku hizi nakula nje aka ongeza moto na mm sikujali lolote kwani nilishaweka potelea pote hata akiondoka sawa tu
Ukapita mwezi hivi sijashiriki nae ila tunalala na kujifunika shuka moja na hata stimu za ngono sina
Siku moja usiku wa saa 7 nashangaa ananiamsha na kuniomba tuongee mm nikamjibu aniache nilale nimechoka
Akaamka na kukaa kwenye kiti na kuanza kulia Mimi nikaendelea kupiga usingizi baadae akarudi tukalala kesho Kama kawaida nawaachia matumizi nasepa zangu job
Muda wa kurudi home ilikuwaga saa tatu lakini nikabadili ikawa saa 5 kuendelea au nisirudi kabisa
Sasa siku hiyo narudi nyumbani nashangaa nimepokelewa vizuri Kama vile hatuna ugomvi muda wa kulala kila kitu poa ila akaniomba niachane na hao mademu kwani anaumia sana nikamjibu kwamba anipe muda naachana nao akakubali
Sasa wiki moja sasa kila nikirudi huangalia simu yangu halafu ananiuliza mbona bado nawasiliana nao nikamwambia asijali naachana nao tu.
Sasa nilikuwa nasahau kufuta ushahidi ndo maana akawa anajua kwa sasa kabla sijagika home nafuta ushahidi wote.
Ila tu ukweli yule mtoto wa kitanga sitamuacha kwa haraka hivo anavodhania yeye.
Yeye ndo kalianzisha nisingeweza kuvumilia na upwiru muda wote huo.
Dawa ya mwanamke ambaye haendi kwenye njia zako achana nae usimpige wala kupigizana naye makelele.
Mke wa ndoa ndo alikwambia hivyo? Kama ni hivyo nikupe pole sana kiongozi 🤝Ana masikhara sana na wanawake uyo 😀
Me wife ameshanambia na mapema sana ktk kucheat kwangu nijitahidi sanaa asigundue ila siku akigundua nimecheat atamtafuta yule rafiki yng wa karibu mnoo amtunuku mzigo kiurahisi sana
Asante nishapoa 🤣Mke wa ndoa ndo alikwambia hivyo? Kama ni hivyo nikupe pole sana kiongozi 🤝
Uko sawa mkuu. Jamaa anachimba shimo lake.Upo vizuri mkuu ila umefanya kosa moja kubwa, kumpa ushahidi kupitia kinywa chako kuwa una wanawake.
Wana kisasi hawa na wanajua timing.
Kabisa mkuuUko sawa mkuu. Jamaa anachimba shimo lake.
Job true trueKaaaaz kwel kwel
Work real realJob true true
Mwendo wa ngiri tu 🤣🙌🏿🤣🤣Dah! Kidogo naona raha ya mapenzi sasa maana toka nianze kuishi nae mwaka wa 4 sasa ilikuwa Ni stress kila siku.
Mwezi ulioisha ulitokea ugomvi ambao ulipelekea nianze kuchepuka kwani baada ya ugomvi mm nilijikausha tu nikaapa sitamgusa wala kumpiga
Nikapata mtoto wa kitanga nikawa na uhakika wa kula kila nikihitaji
Baada ya kugundua kwamba siku hizi nakula nje aka ongeza moto na mm sikujali lolote kwani nilishaweka potelea pote hata akiondoka sawa tu
Ukapita mwezi hivi sijashiriki nae ila tunalala na kujifunika shuka moja na hata stimu za ngono sina
Siku moja usiku wa saa 7 nashangaa ananiamsha na kuniomba tuongee mm nikamjibu aniache nilale nimechoka
Akaamka na kukaa kwenye kiti na kuanza kulia Mimi nikaendelea kupiga usingizi baadae akarudi tukalala kesho Kama kawaida nawaachia matumizi nasepa zangu job
Muda wa kurudi home ilikuwaga saa tatu lakini nikabadili ikawa saa 5 kuendelea au nisirudi kabisa
Sasa siku hiyo narudi nyumbani nashangaa nimepokelewa vizuri Kama vile hatuna ugomvi muda wa kulala kila kitu poa ila akaniomba niachane na hao mademu kwani anaumia sana nikamjibu kwamba anipe muda naachana nao akakubali
Sasa wiki moja sasa kila nikirudi huangalia simu yangu halafu ananiuliza mbona bado nawasiliana nao nikamwambia asijali naachana nao tu.
Sasa nilikuwa nasahau kufuta ushahidi ndo maana akawa anajua kwa sasa kabla sijagika home nafuta ushahidi wote.
Ila tu ukweli yule mtoto wa kitanga sitamuacha kwa haraka hivo anavodhania yeye.
Yeye ndo kalianzisha nisingeweza kuvumilia na upwiru muda wote huo.
Dawa ya mwanamke ambaye haendi kwenye njia zako achana nae usimpige wala kupigizana naye makelele.
Alikua anaweka kwenye Nini sijui sikumbuki 😇 nimesahau.Dawa ya matone ya sikiini na machoni
Kwani wanawake wanasamehe?🤣Tatizo mke akichepuka akagundulika! Wàñaume tunashindwa kusamehe sijui kwanini.
💪💪💪Dah! Kidogo naona raha ya mapenzi sasa maana toka nianze kuishi nae mwaka wa 4 sasa ilikuwa Ni stress kila siku.
Mwezi ulioisha ulitokea ugomvi ambao ulipelekea nianze kuchepuka kwani baada ya ugomvi mm nilijikausha tu nikaapa sitamgusa wala kumpiga
Nikapata mtoto wa kitanga nikawa na uhakika wa kula kila nikihitaji
Baada ya kugundua kwamba siku hizi nakula nje aka ongeza moto na mm sikujali lolote kwani nilishaweka potelea pote hata akiondoka sawa tu
Ukapita mwezi hivi sijashiriki nae ila tunalala na kujifunika shuka moja na hata stimu za ngono sina
Siku moja usiku wa saa 7 nashangaa ananiamsha na kuniomba tuongee mm nikamjibu aniache nilale nimechoka
Akaamka na kukaa kwenye kiti na kuanza kulia Mimi nikaendelea kupiga usingizi baadae akarudi tukalala kesho Kama kawaida nawaachia matumizi nasepa zangu job
Muda wa kurudi home ilikuwaga saa tatu lakini nikabadili ikawa saa 5 kuendelea au nisirudi kabisa
Sasa siku hiyo narudi nyumbani nashangaa nimepokelewa vizuri Kama vile hatuna ugomvi muda wa kulala kila kitu poa ila akaniomba niachane na hao mademu kwani anaumia sana nikamjibu kwamba anipe muda naachana nao akakubali
Sasa wiki moja sasa kila nikirudi huangalia simu yangu halafu ananiuliza mbona bado nawasiliana nao nikamwambia asijali naachana nao tu.
Sasa nilikuwa nasahau kufuta ushahidi ndo maana akawa anajua kwa sasa kabla sijagika home nafuta ushahidi wote.
Ila tu ukweli yule mtoto wa kitanga sitamuacha kwa haraka hivo anavodhania yeye.
Yeye ndo kalianzisha nisingeweza kuvumilia na upwiru muda wote huo.
Dawa ya mwanamke ambaye haendi kwenye njia zako achana nae usimpige wala kupigizana naye makelele.
Kitakachofuata ni mwanamke ni kuchepuka pia. Halafu atakuheshimu hivyohivyo. Na mwanamke akishachepuka tu, kuacha ni vigumu sana. Jamaa yetu atakuja akilia badala ya kushangilia na kujisifu na ujinga huu.ni ujinga tu