Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,293
- 5,163
Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo.
Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani ya treni kwa watoa huduma ambao wanaonekana kukosa mafunzo ya muda mrefu na uzoefu.
Je, kwa wengine ambao tayari wametumia hii huduma, mnaonaje? Changamoto zenu ni zipi? Vipi huduma ndani na nje ya vituo?
Naona hapo Tanzanite Terminal Bodaboda kama wote, hii nayo ni hali inayopaswa kuruhusiwa eneo hilo?
Karibuni.