Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kero zilizopo stendi kubwa za mabasi kwa kuruhusu ma agent na wafanyabiashara tuombe ziishie huko ...hii SGR I wish iwe kama airport na hii itasaidia hata kulinda miundombinu na kuzingatia usafi.Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo.
Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani ya treni kwa watoa huduma ambao wanaonekana kukosa mafunzo ya muda mrefu na uzoefu.
Je, kwa wengine ambao tayari wametumia hii huduma, mnaonaje? Changamoto zenu ni zipi? Vipi huduma ndani na nje ya vituo?
Naona hapo Tanzanite Terminal Bodaboda kama wote, hii nayo ni hali inayopaswa kuruhusiwa eneo hilo?
Karibuni.
Sasa kuna haja gani ya kunitusi? Mimi mahitaji yangu ni muda wa kukaa ndani ya chombo ndio kipaumbele changutoka hapo ukimani utembee dunia uone kama hiyo ni unnecessary. mmesharogwa na ccm mkajua dunia ni kama hapo ukimani.
hapo wapi kuna tusi mkuu?Sasa kuna haja gani ya kunitusi? Mimi mahitaji yangu ni muda wa kukaa ndani ya chombo ndio kipaumbele changu
Kwa maelezo haya tuamini vipi usalama wa reli na treni yenyewe sasa kwa sababu vyote ni vigeniSasa ndio kwanza treni imefanya safari moja wakuu kweli mnataka kusiwe na changamoto yoyote kweli?
Unawalaumu hao wahudumu hawana uzoefu, like serious mkuu?
Kwa mtu uliyezaliwa kwenye ''fyongo'' za ki-bongobongo ni lazima uone kuwa ni ''changamoto'' kwenye jambo lolote ni kawaida. Lakini nikuambie kuwa mambo hayatakiwi kuwa hivyo. Ukijindaa vizuri uzembe (ambao wewe unaona ni changamoto) hauwezi kutokea. Hebu niambie siti moja kupewa wasafiri wawili hapo kuna excuse gani kama siyo uzembe?Sasa ndio kwanza treni imefanya safari moja wakuu kweli mnataka kusiwe na changamoto yoyote kweli?
Unawalaumu hao wahudumu hawana uzoefu, like serious mkuu?
SHIDA MOJA NA KUBWA YA waTanzania hatuna tabia ya kujali vitu na kutofuata taratibu kupokea mafundisho na kuyafuata!Sasa ndio kwanza treni imefanya safari moja wakuu kweli mnataka kusiwe na changamoto yoyote kweli?
Unawalaumu hao wahudumu hawana uzoefu, like serious mkuu?
Ni kweli ila wahudumiwa nao wapo ambao ni kisangaMasuala ya customer service hapa Tanzania ni zero kabisa, hata ufundishe hawa watu vipi bado wako useless tu. Dawa pekee ni mtu akiboronga anafutwa kazi na asiajiriwe popote pale hapa Tanzania. Watu wanafanya kazi kwa mazoea sana hata huko serikalini mambo ni yale yale tu.
Nadhani Yuko sahihi. Wahisika wachukue hatua. Mradi wa mabasi ya mwendo Kasi unajifia hivihivi hivyo lazima tuwe makini na huu mwingine maana na pesa zetuSasa ndio kwanza treni imefanya safari moja wakuu kweli mnataka kusiwe na changamoto yoyote kweli?
Unawalaumu hao wahudumu hawana uzoefu, like serious mkuu?
Baadhi ya wahudumu hawana nyashi, serekali ijaribu kulitazana hili asante.Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo.
Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani ya treni kwa watoa huduma ambao wanaonekana kukosa mafunzo ya muda mrefu na uzoefu.
Je, kwa wengine ambao tayari wametumia hii huduma, mnaonaje? Changamoto zenu ni zipi? Vipi huduma ndani na nje ya vituo?
Naona hapo Tanzanite Terminal Bodaboda kama wote, hii nayo ni hali inayopaswa kuruhusiwa eneo hilo?
Karibuni.
Acha madharau kijana!😂😂😂Hapo treni inaishia Moro tu,ikianza kufika Kigoma na Kanda ya nyonyo hivyo vyoo masink yatajaa magunzi kwenye station
Mambo mengine yanarekebishika kadri muda, fedha na rasilimali zingine zitakvyoruhusu. Hakuna jambo liloanza likawa perfect 100% at start states, tuwape muda ndugu zetu wa SGR lkn pia ss tuwe sehemu ya uboreshaji kwa kadri hali na maarifa yetu itavyoruhusu.Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo.
Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani ya treni kwa watoa huduma ambao wanaonekana kukosa mafunzo ya muda mrefu na uzoefu.
Je, kwa wengine ambao tayari wametumia hii huduma, mnaonaje? Changamoto zenu ni zipi? Vipi huduma ndani na nje ya vituo?
Naona hapo Tanzanite Terminal Bodaboda kama wote, hii nayo ni hali inayopaswa kuruhusiwa eneo hilo?
Karibuni.
Nasikia kuna watu wanaweka gogo bila kulipushi lisionekane kwenye ile sink nyeupe.Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo.
Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani ya treni kwa watoa huduma ambao wanaonekana kukosa mafunzo ya muda mrefu na uzoefu.
Je, kwa wengine ambao tayari wametumia hii huduma, mnaonaje? Changamoto zenu ni zipi? Vipi huduma ndani na nje ya vituo?
Naona hapo Tanzanite Terminal Bodaboda kama wote, hii nayo ni hali inayopaswa kuruhusiwa eneo hilo?
Karibuni.
Those maids were hand picked from counters. Almost all of them it is the first time to travel by train, wanashindwa na wale wa ndani ya mabasi.Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo.
Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani ya treni kwa watoa huduma ambao wanaonekana kukosa mafunzo ya muda mrefu na uzoefu.
Je, kwa wengine ambao tayari wametumia hii huduma, mnaonaje? Changamoto zenu ni zipi? Vipi huduma ndani na nje ya vituo?
Naona hapo Tanzanite Terminal Bodaboda kama wote, hii nayo ni hali inayopaswa kuruhusiwa eneo hilo?
Karibuni.
Na hawa wanaolalamika right from the day go wanajulikana.Hawakutegemea kabisa kwamba hii treni ingefanya kazi.Kumbukeni hata siku zile kile kichwa cha majaribio kilipoenda Morogoro.Hawahawa wenye midomo mirefu they made a lot of fuss.Unataka siku ya kwanza tu usione changamoto yoyote.Haiwezekani.Na kitu gani kilikupeleka huko.Siku ya kwanza ilikuwa ni kwa ajili ya watu wenye akili timamu wenye kuweza kuona,kufikiri na kutafakari.Wewe unatakiwa usafiri mwaka mmoja baada ya huduma kuanza rasmi.Sasa ndio kwanza treni imefanya safari moja wakuu kweli mnataka kusiwe na changamoto yoyote kweli?
Unawalaumu hao wahudumu hawana uzoefu, like serious mkuu?
Bila kubinafsisha SGR kwa wazungu ni uongo!Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo.
Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani ya treni kwa watoa huduma ambao wanaonekana kukosa mafunzo ya muda mrefu na uzoefu.
Je, kwa wengine ambao tayari wametumia hii huduma, mnaonaje? Changamoto zenu ni zipi? Vipi huduma ndani na nje ya vituo?
Naona hapo Tanzanite Terminal Bodaboda kama wote, hii nayo ni hali inayopaswa kuruhusiwa eneo hilo?
Karibuni.
Hii mkuu naona unahalalisha incompetent cultureKila Mtanzania anataka huduma perfect kwa ajili yake.jambo ambalo haliwezekani. Mapungufu ya hapa na pale hayakosekani.