Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,293
- 5,163
the expectedBaada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Moro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo, Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani ya train kwa watoa huduma ambao wanaonekana kukosa mafunzo ya muda mrefu na uzoefu.
Je, kwa wengine ambao tayari wametumia hii huduma, mnaonaje? Changamoto zenu ni zipi? Vipi huduma ndani na nje ya vituo? Naona hapo Tanzanite Terminal Bodaboda kama wote……hii nayo ni hali inayopaswa kuruhusiwa eneo hilo?
Karibuni.
Nini inasikitisha?Inasikitisha sana wakuu
Sijasoma mada kwahy sijui kipi KinachosikitishaNini inasikitisha?
Masuala ya customer service hapa Tanzania ni zero kabisa, hata ufundishe hawa watu vipi bado wako useless tu. Dawa pekee ni mtu akiboronga anafutwa kazi na asiajiriwe popote pale hapa Tanzania. Watu wanafanya kazi kwa mazoea sana hata huko serikalini mambo ni yale yale tu.Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo.
Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani ya treni kwa watoa huduma ambao wanaonekana kukosa mafunzo ya muda mrefu na uzoefu.
Je, kwa wengine ambao tayari wametumia hii huduma, mnaonaje? Changamoto zenu ni zipi? Vipi huduma ndani na nje ya vituo?
Naona hapo Tanzanite Terminal Bodaboda kama wote, hii nayo ni hali inayopaswa kuruhusiwa eneo hilo?
Karibuni.
Mwenyewe nimeshangaa hio ya uzoefu 😂Sasa ndio kwanza treni imefanya safari moja wakuu kweli mnataka kusiwe na changamoto yoyote kweli?
Unawalaumu hao wahudumu hawana uzoefu, like serious mkuu?
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo.
Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani ya treni kwa watoa huduma ambao wanaonekana kukosa mafunzo ya muda mrefu na uzoefu.
Je, kwa wengine ambao tayari wametumia hii huduma, mnaonaje? Changamoto zenu ni zipi? Vipi huduma ndani na nje ya vituo?
Naona hapo Tanzanite Terminal Bodaboda kama wote, hii nayo ni hali inayopaswa kuruhusiwa eneo hilo?
Karibuni.
Nadhani lengo la safari za majaribio lilikuwa ni kuwapa uzoefu wahudumu na kutest mifumo, nadhani hata mfumo wa tickets ulipaswa kutestiwa kipindi hicho ili kuona changamoto zake na kurekebisha kabla ya kusubiri safari. Hii pia ingeenda sambamba na kuwapa wahudumu wote uzoefu baada ya mafunzo.Sasa ndio kwanza treni imefanya safari moja wakuu kweli mnataka kusiwe na changamoto yoyote kweli?
Unawalaumu hao wahudumu hawana uzoefu, like serious mkuu?
Si kweli!Nadhani lengo la safari za majaribio lilikuwa ni kuwapa uzoefu wahudumu na kutest mifumo, nadhani hata mfumo wa tickets ulipaswa kutestiwa kipindi hicho ili kuona changamoto zake na kurekebisha kabla ya kusubiri safari. Hii pia ingeenda sambamba na kuwapa wahudumu wote uzoefu baada ya mafunzo.